Udini Wizara ya Elimu

Status
Not open for further replies.
Nadhani tuwe wapole kwanza.alafu tuwe makini.Hao wanao sema kuna udini kwanza wao ndo wanaudini.Maana hao wanao kwenda kusoma nje je wanrudi kutumika misikitini au kwa watanzania? Wanatumikia Taifa.Cha maana nikuzingatia kanuni na taratibu za kazi.Pia kuongea bila takwimu ni ulaghai.Nchi ni ya watanzania na wanatumikia watanzania.Tutafakari kwa kina namna ya kujinasua katika uhujumu uchumi siku hizi tunaita ufisadi. Pia tupeleke watu wengi nje wakasome kwa vitendo na kuleta maendeleo katika nchi yetu.
 
Kabla ya kulalamika kwanza tafuta takwimu za uwiano wa waajiriwa waserikali kati ya wakristo na wale wa dini nyingine. Ningekuomba anzia TRA-DAR.

Kama umkweli na kuelewa usemi wa Biblia usemao: Mtendee mwenzio kama unavyopenda kutendewa mwenyewe Basi utapata machungu.

Ndugu zangu wakristo tueleweni kwamba amani yeyote ile inapatikana pale ugawanaji wa Raslimali, nguvu kazi na ajira (hasa serikalini) zinapotolewa kwa uwiano sawa.

Amani ya Tanzania kwa kiasi kikubwa imeletwa na waislam kwa kuvumilia na kutolalamikia hilo. Maana tukiandika takwimu za waajiriwa Serikalini kati ya wakristo na wale wa dini nyingine Mchozi utakutoka.
 
Well, Mkitaka twende hivyo hakuna matatizo kabisa.

Nyie chagueni tu Ngoma na mwimbo, nasi tuko tayari kucheza. Isitoshe sisi hatutapoteza sana.

Kwanini hatutapoteza? Kwa sababuzifuatazo:

1. Wabunge Tanzania bara- 75% wakristo.

2.Ajira serikalini - 85% Wakristo

3.Wanafunzi vyuo vikuu 70% Wakristo.

Sasa hapo sisi tuna nini? Nyie chezeni mchezo, halafu muone. Mna uchaguzi, Amani au vurugu. Mkitaka amani tukae kwenye meza kujadili na kutatua hayo. Hamtaki amani tumieni magazeti, makanisa na nyaraka.

Tumechoshwa na kutishwa tishwa kwa maneno huku mkificha takwimu. Kama nyie ni ma-sinia member wekeni mambo wazi. Ninamaanisha takwimu.
 
Acha Pumba! Kwani ajira utaipataje kama hukupata ujuzi wake? Katika elimu ndio mchezo mzima unakoanzia, msitufanye kuwa sisi ni majuha. Watu wengine utawaheshimu lakini, ikifika suala la utatuzi lihusulo dini wanatumia mioyo yao badala ya akili.

Sikia nikwambie, fuatilia Barua ya Mkapa aliyomjibu Sheikh Ponda mwaka 2002 wakati Ponda akija na takwimu kuhusu uwiano wa ajira serikalini kati ya waislam na wakristo. Nitakusaidia jinsi Mkapa alivyojibu: Alikiri kuwepo na tofauti kubwa na kusema, hilo litarekebishwa pole pole kwa kuzingatia kwamba si rahisi kuwapata wataalam haraka haraka. Hapo mimi, wislam na wakristo wote nchini tulimuelewa ispokuwa Abdulhalim.

Tumieni akili kuelewa matatizo yaliyopo, na sio Roho mtakatifu. Msifikiri hali iliyopo ni ya kudumu, lazima irekebishwe. Hatujali awe Rais Muislam au Mkristo tunachojua ni kudai haki yetu.
 

Wasikushughulishe hawa watu wamefilisika hawana hoja. nimeuliza Scholarships hizo zimetoka lini na nani na nani wamepewa based on udini wamefeli kabisa.

Naomba nieleze Udini wa wazi wizara ya Nishati na Madini.ambapo Katibu mkuu na waziri wote wakristu wamefanya utumbo wa hali juu kwenye ajira hivi Karibuni.

Daily News la 03/06/09 waliita watu kwenye Interview kama kawaida yao wakawakaTA waislam wote, Interview hiyo ilifanyika makao makuu ya wizara ya Nishati na Madini ghorofa ya Sita chumba namba 605. Kuanzia Tarehe 15 hadi 17 june 2009.

Majina ya walioitwa kwenye Interview kama ifuatavyo.

1.INFORMATION TECHNOLOGY(IT)SPECIALIST. 15TH JUNE AT 10.00 AM

1-ABEL MOSES KASEKO BOX 1965 DSM TEL 0713 604242.

2-RAYMOND MICHAEL BOX 867 SONGEA 0713 228809.

3-SOAMES SEMBE PHARES 0719 077707.

KWENYE HIZI NAFASI ZA IT WAISLAM WALIOMBA KUNA MMOJA ANA VYETI VITANO VYA PROFESSIONAL VYA IT PAMOJA NA DIGRII YA UDSM LAKINI HAKUITWA.

2. DATA ANALYST.15 JUNE AT 01.30 PM.

1-BERNADA ERNEST 0754 393679.

2-ANDREW ABRAHAM MWANGAKALA 0774 221100. WAISLAM WAKAACHWA.NAFASI MBILI NA WAMEITA WATU WAWILI KWENYE INTERVIEW.HUU NI MCHEZO WA KUIGIZA HIVI UDINI HUU USIO NA HAYA WALA AIBU UTATUFIKISHA WAPI?

3-REPORT WRITER 15TH JUNE AT 2.30.

1-STELLA A.MWENDA BOX 80486 DSM 0767 223 387.

HAPA KUNA MUISLAM ALIKUWA ANA DIGRII YA HABARI,ANA DIPLOMA YA RELATIONS ANA CHETI CHA SHERIA NA MWANDISHI MWANDAMIZI AKATUPWA. TENA CHA AJABU NAFASI HII WAMEMWITA MTU MMOJA KWENYE NAFASI MOJA INTERVIEW YA NINI? WALIPOKOSA AIBU NDUGU ZETU HAPA WAMEWEKA MTU MMOJA TU. KWANI WAISLAM WALIOOMBA WANGEITWA KWENYE INTERVIEW MTU WAO ASINGEPATA KAZI.HR ZA HAWA WADINI WA KIKRISTU ZINAFANYA KAZI VIPI?

4.ENVIRONMENTAL SCIENTIST.16 JUNE.AT 01.30.

1.CASSIAN LUSHINDE,2-MONICA AUGUSTINO,3-NDELE MENGO.

4-EMANUEL SUMAY 5-ISSAC I. 6.ZABIBU ANDREW.

5.FINANCIAL ANALYST/AUDITOR.17TH JUNE AT 10.00 AM.

1-ZEPHANIA HENRY. 2-NURU ABDALLAHMED. 3-BHUINDA M.NASSON.

6.TAX EXPERT.17 JUNE 2009 AT 01.30

1-MABULA MABULA 2-ALBERT NGOWI 3-VENANCE BAHATI.

IMETOLEWA NA PERMANENT SECRETARY
MINISTRY OF ENERGY AND MINERALS
BOX 200,
DAR ES SALAAM.

NB NILITARAJIA MLETA UZUSHI WA WIZARA YA ELIMU ANGEKUJA NA DATA KAMA HIZI ZANGU NIMEWEKA TAREHE LINI NA WAPI HADI SIMU ZA WAHUSIKA WAPIGIENI. NI KAMA WALIVYOFANYA PUMBA OFISI YA BUNGE KUWAPA AJIRA WATU WA CHUO KIMOJA, DARASA MOJA INTAKE MOJA KWA KIGEZO CHA UKRISTU.
 

nadhani ungemsoma kwanza mtoa mada aliyesema kuwa ana mshangaa jk kuwapa waislam wizara ya elimu kuongoza.nimejibu kwa mujibu wa hoja ilivyoletwa mezani.najua ukweli ni mchungu kuusoma au kuuona.

Pia nimeweka kopi ya kitabu cha mwembechai kuna data zaidi kuonesha nani anabanwa kwenye ajira na elimu.
 
Kama je walioomba wana vigezo zaidi ya waliokosa?
una ushahidi?
 
Kama je walioomba wana vigezo zaidi ya waliokosa?
una ushahidi?
I hate this!!!
Najua appointments za JK nyingi ni za waislamu, ila kama utendaji wao ni mbovu inabidi watolewe, na si
 
Udini na Ukabila hautunufaishi chochote kikubwa mnatujengea chuki ambazo hazina maana nchini mtu unavyo itwa kwenye interview vinaangaliwa vitu vingi sio kwamba jamaa eti ana degree kibao alafu wamemwacha yawezekana jamaa mtu kama huyo hawamtaki.
 
Kama je walioomba wana vigezo zaidi ya waliokosa?
una ushahidi?
I hate this!!!
Najua appointments za JK nyingi ni za waislamu, ila kama utendaji wao ni mbovu inabidi watolewe, na si

Mojawapo ya mambo linalopigiwa kelele kwa muda hapa JF (namaanisha Great Thinkers, sio wapumbavu kama akina Miss Ngoda et al) ni suala la vyeo vya kuteuana.

Hiki ni chanzo kimojawapo cha mitafaruku isiyo na tija kwa taifa. Great thinkers wameshauri mara kadhaa hapa jamvini kuwa vyeo vyote vinavohusu utumishi wa umma viwe compettitive kwa maana kwamba tume huru za ajira zitangaze TOR, wenye kuona wanastahili waombe kisha lets the best man win it, lakini hali imekuwa ni kinyume chake.

Na kwa bahati mbaya hata vyama vya upinzani vmekaa kimya kuhusu hili na hata vingine kuiga huu mfumo wa kuteuana kwenye ubunge wa viti maalum. Nakumbuka mojawapo ya chiki ktk CHADEMA vs Wangwe ilikuwa kuteua watu bila criteria zinazoeleweka kwenye hivi viti vya ubunge-maalum. Sasa unaweza kuona jinsi tatizo lilivyo kubwa, na hamna mtu anayekemea au kuchukua hatua.
 
Duh, kama ni kweli hii ni hatari. Ila tunaomba reliable source ya hiyo information ndugu tusijekuwa wnachama wa lile kundi la walalamikaji wasio na mipaka.
 
Wana Jf mbona hawo akina nani sasa wanaona uchungu eti wizara ya elimu ina bagua dini, walikuwa wapi enzi za akina Bwana mgonja na wengine shule nyingi zilijengwa kwa akina wakiristo, scholoarship kwa akian hao tu hata wizara ya fedha ilitawaliwa na akina hao infact wizara na tasisi zote za serikali zilikuwa chini yao, hata leo temeblea wizara zote ana tasisi zote hususan TRA wenye cheo na nafisi nyeti ni wakina hao, kama muislamu ana nafisa hapo bisi yeye ni mesaja au cleaner.Haya wanajamii je huu ni haki?
 

Tanzania takwimu ni tatizo kubwa sana. kwa hiyo kupata uwiano wa Wakristo na Waislamu serikalini ni vigumu sana. Ila kwa bahati mbaya au nzuri kwa huku kwetu ni rahisi sana kujua dini ya mtu kwa kuangalia jina lake. Hapa chini nitaorodhesha wabunge wa Tanzania na majimbo yao. Naomba upige mahesabu uone kama inafika hiyo 75% uliyo itaja hapo juu.


Tanzanian Members of Parliament, in alphabetical order

Name Constituency Party Cabinet Position (if any)
Anna Margareth Abdallah Special Seat (Women) CCM
Mohamed Rished Abdallah Pangani CCM
Maida Hamad Abdallah Special Seat (Women) CCM
Mohammed Abdi Abdulaziz Lindi Mjini CCM
Bahati Ali Abeid Special Seat (Women) CCM
Khadija Salum Ally Al-Qassmy Special Seat (Women) CUF
Fatma Othman Ali Special Seat (Women) CCM
Ali Haji Ali Zanzibar House of Representatives CCM
Dr. Ali Tarab Ali Konde CUF
Aziza Sleyum Ally Special Seat (Women) CCM
Ame Pandu Ame Nungwi CCM
Kheri Khatib Ameir Matemwe CCM
Ameir Ali Ameir Fuoni CCM
Said Amour Arfi Mpanda Kati CHADEMA
Rostam Abdulrasul Azizi Igunga CCM
Idd Mohamed Azzan Kinondoni CCM
Nuru Awadhi Bafadhili Special Seat (Women) CUF
Faida Mohamed Bakar Special Seat (Women) CCM
Abubakar Khamis Bakary Zanzibar House of Representatives CUF
Prof. Feethan Filipo Banyikwa Ngara CCM
Elizabeth Nkunda Batenga Special Seat (Women) CCM
Joel Nkaya Bendera Korogwe Mashariki CCM Deputy Minister of Information, Culture, and Sports
Gosbert Begumisa Blandes Karagwe CCM
Felister Aloyce Bura Special Seat (Women) CCM
Dr. Batilda Salha Burian Special Seat (Women) CCM Minister of state, environment
Dr. Cyril August Chami Moshi Vijijini CCM Deputy Minister of Trade and Industry
Hazara Pindi Chana Special Seat (Women) CCM
Ania Said Chaurembo Special Seat (Women) CUF
Dr. Raphael Masunga Chegeni Busega CCM
Andrew John Chenge Bariadi Magharibi CCM
Gideon Asimulike Cheyo Ileje CCM
John Momose Cheyo Bariadi Mashariki UDP
Hezekiah Ndahani Chibulenje Chilonwa CCM Deputy Minister of Infustructure
Mathias Meinrad Chikawe Nachingwea CCM Minister of Justice and Constitutional Affairs
Capt. John Zefania Chiligati Manyoni Mashariki CCM Minister of Lands and Human Settlements
Diana Mkumbo Chilolo Special Seat (Women) CCM
Samuel Mchele Chitalilo Buchosa CCM
Christopher Kajoro Chiza Buyungu CCM
Mohammed Amour Chombon Magomeni CCM
Dr. Maua Abeid Daftari Special Seat (Women) CCM Deputy Minister Science technology and communication
Dr. David Mathayo David Same Magharibi CCM Deputy Minister of Agriculture, Food Security, and Cooperatives
Paschal Constantine Degera Kondoa South CCM
Mohammed Gulam Dewji Singida Mjini CCM
Hasnain Gulamabbas Dewji Kilwa Kusini CCM
Anthony Mwandu Diallo Ilemela CCM
Meryce Mussa Emmanuel Special Seat (Women) CUF
Bakari Shamis Faki Ole CUF
Col. Saleh Ali Farrah Raha Leo CCM
Fatma Abdulhabib Fereji Zanzibar House of Representatives CUF
Stephen Jones Galinoma Kalenga CCM
Dr. Zainab Amir Gama Kibaha CCM
Josephine Johnson Genzabuke Special Seat (Women) CCM
Hawa Abdulrahman Ghasia Mtwara Vijijini CCM Minister of Public Service and Management
Dr. Haji Mwita Haji Muyuni CCM
Ali Juma Haji Chaani CCM
Zuleikha Yunus Haji Special Seat (Women) CCM
Hemed Mohammed Hemed Chonga CUF
Maria Ibeshi Hewa Special Seat (Women) CCM
Parmukh Singh Hoogan Kikwajuni CCM
Ambassador Seif Ali Iddi Kitope CCM Deputy Minister of Foreign Affairs and International Relations
Yahya Kassim Issa Chwaka CCM
Issa Kassim Issa Mpendae CCM
Athumani S. Janguo Kisarawe CCM
Asha Mshimba Jecha Special Seat (Women) CCM
Mwadini Abbas Jecha Wete CUF
Shoka Khamis Juma Micheweni CUF
Riziki Omar Juma Special Seat (Women) CUF
Rajab Ahmad Juma Tumbatu CCM
Gaudentia Mugosi Kabaka Special Seat (Women) CCM Deputy Minister of Education
Siraju Juma Kaboyonga Tabora Mjini CCM
Phares Kashemeza Kabuye Biharamulo Magharibi TLP
Mgeni Jadi Kadika Special Seat (Women) CUF
Ambassador Hamis Suedi Kagasheki Bukoba Mjini CCM
Janet Bina Kahama Special Seat (Women) CCM
Charles Muguta Kajege Mwibara CCM
Dr. Diodorus Buberwa Kamala Nkenge CCM Minister of East African Cooperation
Prof. Juma Athuman Kapuya Urambo Magharibi CCM Minister of Labour, Employment and youth development
Nazir Mustafa Karamagi Bukoba Vijijini CCM
Teddy Louise Kasella-Bantu Bukene CCM
Mariam Reuben Kasembe Special Seat (Women) CCM
Eustace Osler Katagira Kyerwa CCM
Dr. Shukuru Jumanne Kawambwa Bagamoyo CCM Minister of Infustructure
Vita Rashid Kawawa Namtumbo CCM
Gaudence Cassian Kayombo Mbinga Mashariki CCM
Charles N. Keenja Ubungo CCM
Yono Stanley Kevela Njombe Magharibi CCM
Salim Abdallah Khalfan Tumbe CUF
Khalifa Suleiman Khalifa Gando CUF
Salim Hemed Khamis Chambani CUF
Vuai Abdallah Khamis Magogni CCM
Mwajuma Hassan Khamis Special Seat (Women) CUF
Abdisalaam Issa Khatib Makunduchi CCM
Hassan Rajab Khatib Amani CCM
Muhammed Seif Khatib Uzini CCM Minister of state, union affairs
Dr. Aisha Omar Kigoda Special Seat (Women) CCM Deputy Minister of Health and Social Welfare
Dr. Abdallah Omar Kigoda Handeni CCM
Hassan Chande Kigwalilo Liwale CCM
Felix Ntibenda Kijiko Muhambwe CCM
Estherina Julio Kilasi Mbarali CCM
Juma Hassan Killimbah Iramba Magharibi CCM
Aloyce Bent Kimaro Vunjo CCM
Halima Omar Kimbau Special Seat (Women) CCM
Fuya Godwin Kimbita Hai CCM
Paul Peter Kimiti Sumbawanga Mjini CCM
Mkiwa Adam Kimwanga Special Seat (Women) CUF
Rosemary Kasimbi Kirigini Special Seat (Women) CCM
Grace Sindato Kiwelu Special Seat (Women) CHADEMA
Capt. John Damiano Komba Mbinga Magharibi CCM
Celina Ompeshi Kombani Ulanga Mashariki CCM Minister of Regional Administration and Local Government
Anna Maulidah Komu Special Seat (Women) CHADEMA
Suleiman Omar Kumchaya Lulindi CCM
William Jonathan Kusila Bahi CCM
Omar Shabani Kwaangw' Babati Mashariki CCM
Michael Lekule Laizer Longido CCM
James Daudi Lembeli Kahama CCM
Castor Raphael Ligallama Kilombero CCM
Devota Mkuwa Likokola Special Seat (Women) CCM
Dr. Festus Bulugu Limbu Magu CCM
Benedict Kiroya Losurutia Kiteto CCM
Sameer Ismail Lotto Morogoro Kusini-Mashariki CCM
Edward Ngoyai Lowassa Monduli CCM
George Malima Lubeleje Mpwapwa CCM
Emmanuel Jumanne Luhahula Bukombe CCM
William Vangimembe Lukuvi Ismani CCM
Riziki Said Lulida Special Seat (Women) CCM
Anna Richard Lupembe Special Seat (Women) CCM
John Paul Lwanji Manyoni Magharibi CCM
Clemence Beatus Lyamba Mikumi CCM
Susan Anselm Jerome Lyimo Special Seat (Women) CHADEMA
Ernest Gakeya Mabina Geita CCM
Joyce Nhamanilo Machimu Special Seat (Women) CCM
Ephraim Nehemia Madeje Dodoma Mjini CCM
Prof. Jumanne Abdallah Maghembe Mwanga CCM Minister of Education
Fatma Mussa Maghimbi Chake Chake CUF
John Pombe Joseph Magufuli Biharamulo Mashariki CCM Minister of livestock and fisheries
Dr. Milton Makongoro Mahanga Ukonga CCM Deputy Minister of Labour
Dr. Binilith Satano Mahenge Makete CCM
Mwanatumu Bakari Mahiza Special Seat (Women) CCM Deputy Minister of Education
Ezekiel Magolyo Maige Msalala CCM
Anne Semamba Makinda Njombe Kusini CCM
Jackson Muvangila Makwetta Njombe Kaskazini CCM
Benito William Malangalila Mufindi Kusini CCM
John Samwel Malecela Mtera CCM
Anne Kilango Malecela Same Mashariki CCM
Adam Kighoma Ali Malima Mkuranga CCM
Halima Mohammed Mamuya Special Seat (Women) CCM
Ramadhani Athumani Maneno Chalinze CCM
Stella Martin Manyanya Special Seat (Women) CCM
Vedastusi Mathayo Manyinyi Musoma Mjini CCM
Philip Sang'ka Marmo Mbulu CCM Minister of state, parliamentary affairs
Abdul Jabiri Marombwa Kibiti CCM
Lawrence Kego Masha Nyamagana CCM Minister of home Affairs
Wilson Mutagaywa Masilingi Muleba South CCM
Masolwa Cosmas Masolwa Bububu CCM
Haroub Said Masoud Koani CCM
Janeth Mourice Massaburi Special Seat (Women) CCM
Joyce Martin Masunga Special Seat (Women) CCM
Zubeir Ali Maulid Kwamtipura CCM
Lucy Thomas Mayenga Special Seat (Women) CCM
Kiumbwa Makame Mbaraka Special Seat (Women) CCM
Salome Joseph Mbatia Special Seat (Women) CCM Deceased
Monica Ngezi Mbega Iringa Mjini CCM
Mwanne Ismaily Mchemba Special Seat (Women) CCM
Halima James Mdee Special Seat (Women) CHADEMA
Zakia Hamdani Meghji Nominated by the President CCM
Bernard Kamillius Membe Mtama CCM Minister of foreign affairs
Mariam Salum Mfaki Special Seat (Women) CCM
Feteh Saad Mgeni Bumbwini CCM
Jenista Joakim Mhagama Peramiho CCM
Laus Omar Mhina Korogwe Vijijini CCM
Zabein Muhaji Mhita Kondoa Kaskazini CCM
Fatma Abdallah Mikidadi Special Seat (Women) CCM
Mohamed Hamisi Missanga Singida Kusini CCM
Margreth Agness Mkanga Special Seat (Women) CCM
Dunstan Daniel Mkapa Nanyumbu CCM
Nimrod Elirehema Mkono Musoma Vijijini CCM
Capt. George Huruma Mkuchika Newala CCM
Mustafa Haidi Mkulo Kilosa CCM Minister of Finance
Rita Louise Mlaki Kawe CCM
Martha Mosses Mlata Special Seat (Women) CCM
Dr. Charles Ogessa Mlingwa Shinyanga Mjini CCM
Lediana Mafuru Mng'ong'o Special Seat (Women) CCM
Mohamed Habib Juma Mnyaa Mkanyageni CUF
Ali Ameir Mohamed Donge CCM
Hamad Rashid Mohamed Wawi CUF
Mohamed Aboud Mohamed Nominated by the President CCM Deputy Minister of Public Security and Safety
Salim Yussuf Mohamed Kojani CUF
Elisa David Mollel Arumeru Magharibi CCM
Ambassador Gertrude Ibengwe Mongella Ukerewe CCM
Amina Chifupa Mpakanjia Special Seat (Women) CCM (Deceased)
Dr. Samson Ferdinand Mpanda Kilwa Kaskazini CCM
Benson Mwailugula Mpesya Mbeya Mjini CCM
Luhaga Joelson Mpina Kisesa CCM
Kilontsi Muhama Mporogomyi Kasulu Magharibi CCM
Basil Pesambili Mramba Rombo CCM
Felix Christopher Mrema Arusha CCM
Raynald Alfons Mrope Masasi CCM
Dr. Ibrahim Said Msabaha Kibaha Vijijini CCM
Ruth Blasio Msafiri Muleba Kaskazini CCM
Manju Salum Omar Msambya Kigoma South CCM
Dr. James Alex Msekela Tabora Kaskazini CCM
Ambassador Abdi Hassan Mshangama Lushoto CCM
Mgana Izumbe Msindai Iramba Mashariki CCM
Prof. Peter Mahamudu Msolla Kilolo CCM Minister of Communication, Science and Technology
Mwinchoum Abdulrahman Msomi Kigamboni CCM
Herbert James Mtangi Muheza CCM
Abbas Zuberi Mtemvu Temeke CCM
Prof. Idris Ali Mtulia Rufiji CCM
Mudhihir Mohamed Mudhihir Mchinga CCM
Joseph James Mungai Mufindi Kaskazini CCM
James Philipo Musalika Nyang'hwale CCM
Bernadeta Kasabago Mushashu Special Seat (Women) CCM
Dorah Herial Mushi Special Seat (Women) CCM
Mossy Suleiman Mussa Mfenesini CCM
Omar Sheha Mussa Chumbuni CCM
Dr. Harrison George Mwakyembe Kyela CCM
Prof. David Homeli Mwakyusa Rungwe Magharibi CCM Minister of Health and Social Welfare
Prof. Raphael Benedict Mwalyosi Ludewa CCM
Victor Kilasile Mwambalaswa Lupa CCM
Ludovick John Mwananzila Kalambo CCM
Mbaruk Kassim Mwandoro Mkinga CCM
Prof. Mark James Mwandosya Rungwe Mashariki CCM Minister water and irrigation
Thomas Abson Mwang'onda Nominated by the President CCM
Shamsa Selengia Mwangunga Special Seat (Women) CCM Minister of Natural Resources
Aggrey Deaisile Joshua Mwanri Siha CCM
Johnson Paulo Mathias Mwanyika Attorney General CCM Attorney General
Harith Bakari Mwapachu Tanga CCM Minister of Public Security and Safety
Hamza Abdallah Mwenegoha Morogoro Kusini CCM
Savelina Silvanus Mwijage Special Seat (Women) CUF
Dr. Hussein Ali Mwinyi Kwahani CCM Minister of Defence
Omar Ali Mzee Kiwani CUF
Omar Yussuf Mzee Kiembesamaki CCM Deputy Minister of Finance
Dr. Chrisant Majiyatanga Mzindakaya Kwela CCM
Juma Suleiman N'hunga Dole CCM
Dr. Mary Michael Nagu Hanang CCM Minister of Industries, Trade, and Marketing
Damas Pascal Babati Magharibi CCM
Dr. Emmanuel John Nchimbi Songea Mjini CCM Deputy Minister of Defence
Richard Mganga Ndassa Sumve CCM
Philemon Ndesamburo Moshi Mjini CHADEMA
Job Yustino Ndugai Kongwa CCM
Sigifrid Seleman Ng'itu Ruangwa CCM
Dr. Juma Alifa Ngasongwa Ulanga Magharibi CCM Minister of Planning, Economy and Empowerment
William Mganga Ngeleja Sengerema CCM
Kingunge Ngombale-Mwiru Nominated by the President CCM
Cynthia Hilda Ngoye Special Seat (Women) CCM
Hadija Saleh Ngozi Nominated by the President CCM
Brg. Gen. Hassan Athumani Ngwilizi Mlalo CCM
Dr. Omari Mzeru Nibuka Morogoro Mjini CCM
Juma Abdallah Njwayo Tandahimba CCM
Sijapata Fadhili Nkayamba Special Seat (Women) CCM
Said Juma Nkumba Sikonge CCM
Dr. Lucy Sawere Nkya Special Seat (Women) CCM
Daniel Nicodem Nsanzugwanko Kasulu Mashariki CCM
Tatu Musa Ntimizi Igalula CCM
Lazaro Samuel Nyalandu Singida North CCM
Ponsiano Damiano Nyami Nkasi CCM
Richard Said Nyaulawa Mbeya Vijijini CCM
Esther Kabadi Nyawazwa Special Seat (Women) CCM
Christopher Olonyokie Ole-Sendeka Simanjiro CCM
Juma Omar Said Mtambwe CUF
Lucy Fidelis Owenya Special Seat (Women) CHADEMA
Ussi Ame Pandu Mtoni CCM
Mizengo Kayanza Peter Pinda Mpanda Mashariki CCM PRIME MINISTER
Mwaka Abdulrahaman Ramadhan Special Seat (Women) CCM
Shally Josepha Raymond Special Seat (Women) CCM
Mhonga Said Ruhwanya Special Seat (Women) CHADEMA
Kabuzi Faustine Rwilomba Busanda CCM
Suleiman Ahmed Saddiq Mvomero CCM
Mwanakhamis Kassim Said Special Seat (Women) CCM
Mohamed Ali Said Mgogoni CUF
Magdalena Hamis Sakaya No Constituency CUF
Bujiku Philip Sakila Kwimba CCM
Kidawa Hamid Salehe Special Seat (Women) CCM
Masoud Abdallah Salim Mtambile CUF
Ali Said Salim Ziwani CUF
Salum Khamis Salum Meatu CCM
Ahmed Ally Salum Solwa CCM
Ibrahim Mohamed Sanya Mji Mkongwe CUF
Prof. Philemon Mikol Sarungi Rorya CCM
Ali Khamis Seif Mkoani CUF
Lucas Lumambo Selelii Nzega CCM
Haji Juma Sereweji Mwanakwerekwe CCM
Peter Joseph Serukamba Kigoma Mjini CCM
Ahmed Mabkhut Shabiby Gairo CCM
Abdulkarim Esmail Hassan Shah Mafia CCM
William Hezekia Shellukindo Bumbuli CCM
Beatrice Matumbo Shellukindo Kilindi CCM
Jacob Dalali Shibiliti Misungwi CCM
John Magale Shibuda Maswa CCM
Dr. Guido Gorogolio Sigonda Songwe CCM
Sophia Mattayo Simba Nominated by the President CCM Minister of State, good governance
George Boniface Simbachawene Kibakwe CCM
Mohamed Said Sinani Mtwara Mjini CCM
Margaret Simwanza Sitta Special Seat (Women) CCM Minister of gender, women and children affairs
Samuel John Sitta Urambo Mashariki CCM
Dr. Luka Jelas Siyame Mbozi Magharibi CCM
Dr. Wilbrod Peter Slaa Karatu CHADEMA
Mohammed Rajab Soud Jang'ombe CCM
Ali Haroon Suleiman Zanzibar House of Representatives CCM
Jeremiah Solomon Sumari Arumeru Mashariki CCM Deputy Minister of Finance
Abdallah Salum Sumry Mpanda Magharibi CCM
Eliatta Nandumpe Switi Special Seat (Women) CCM
Hafidh Ali Tahir Dimani CCM
Fatma Abdalla Tamim Zanzibar House of Representatives CCM
Kaika Saning'o Telele Ngorongoro CCM
Fred Mpendazoe Tungu Kishapu CCM
Martha Jachi Umbulla Special Seat (Women) CCM
Zaynab Matitu Vulu Special Seat (Women) CCM
Anastazia James Wambura Special Seat (Women) CCM
Chacha Zakayo Wangwe Tarime CHADEMA
Dr. James Mnanka Wanyancha Serengeti CCM
Stephen Masato Wasira Bunda CCM Minister of Agriculture
Godfrey Weston Zambi Mbozi Mashariki CCM
Mwanawetu Said Zarafi Special Seat (Women) CUF
Kabwe Zuberi Zitto Kigoma Kaskazini CHADEMA
Mzee Ngwali Zubeir Mkwajuni CCM
Mussa Azan Zungu Ilala CCM

By the way naomba msaada ya wapi umepata takwimu za ajira serikalini na wanafunzi wa vyuo vikuu.
 
Dhambi ya ubaguzi ikianza hiishii kubagua waislam na wakristo tu itaendelea katika maeneo mengine. Ukisema Wizara ya fedha walikuwa wakristo tu mimi nasema walikuwa watu kutoka kaskazini (Kilimanjaro, Arusha n.k) ambapo mikoa mingine tulibaguliwa. Sasa angalia dhambi ya ubaguzi ilivyo na inavyo endeleza ubaguzi.

Jamani tuache ubaguzi, maana tutaanza kuangaliana wewe unatoka wapi, nani mkristo nani mwuislam nani wa kabila gani n.k. haya hayatatusaidia. Anayefanya ubaguzi amulikwe na aondolewe kwenye nafasi aliyonayo. Nakiri ishara za udini zinaanza kujitokeza wazi wazi
 
Mmeishiwa hamna lolote.mbona hamkusema kitu wakati wa mkapa wakati wakuu wa mikoa walikuwa wawili tu waislam.ukiona mtu analalamikia udini yeye ndio mdini zaidi.Hamtaki kuongozwa na muislam kwa sababu mnafundishwa makanisani hivyo.mmezoea kuwaburuza waislam na favour kutoka serikalini sasa zimepunguzwa mnaanza kulalamika.
 
Kabla hujaandika fikiria kwanza,
 

Du! Yaani umejiunga juzi umekuja special kwa ajili hii.

Juzi juzi nilikuwa napitia humu nikakutana na Member (Kanakansungu)
akielezea kuwa ameachana JF imepoteza mwelekeo.

Sasa nadhani humu kuna watu wanajiunga kuja kuvuruga kama kule kwenye vita vya ufisadi.

Moderator take care kijiwe hiki kimevamia safari naona itakuwa fupi!
 
Ungeweka basi na majina ya waislamu waliokatwa na namba zao za simu kama ulivyofanya kwa hao wengine. Halafu idadi ya digrii ulizonazo siyo kigezo muhimu sana. Kama ingekuwa hivyo basi kazi zote angechukuwa TUNTEMEKE SANGA, si mnakumbuka alikuwa na digrii saba..??????!!!! Vile vile hayo majina unaweza ukawa umeyapika tuu. Ushahidi mzuri ni scaned copy ya original tangazo, kwa jinsi ulivyofanya hapo "is not a proof beyond reasonable dought". Inawezekana umefanya usekretari wako wa kutaipu na kutuwekea hapa JF.
 
Last edited:
Kuzidi kwa waislamu au wakristu sehemu fulani ya kazi is not an issue. Nadhani mtoa mada anakerwa na jinsi mtu anavyoipata hiyo skolashipu. Dini should not be one of the factors.

Namuunga mkono. Ingekuwa tunachagua shehe au askofu, ok, vigezo ni dini ya mtu. Lakini kama tunachagua mtu wa kuziba nafasi yoyote ile nje ya nafasi ya kidini, basi dini isihusishwe kwa namna yoyote ile. Mkakati pekee unahitajika katika kiziba nafasi yoyote ile ni kuhakikisha unakuwa na vigezo vinavyohitajika katika nafasi hiyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…