Udom excluded

Udom excluded

Acha Dhambi

Senior Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
145
Reaction score
41
Naomba kujua ukweli kuhusu habari za ajira kutolewa katika magazeti lakini Udom kuwa excluded
 
Acha ushamba, kwanza umeskia tu huna uhakika, ka vip ka ulize gazeti husika
 
Pengine UDOM ni chuo cha KATA ndo maana kinakuwa excluded!
 
Naomba kujua ukweli kuhusu habari za ajira kutolewa katika magazeti lakini Udom kuwa excluded

Dogo vp? From which source of information.Gazeti la mtu mmoja tu au.Umbea hatutaki. No evidence no right to speak.
 
nadhani ni bora uwe na uhakika kabla ya kuropoka!!!
 
Teh teh teh teh........maembe ya kupepea........... Nje njanooooooooooooooo ndani puchupuchu
 
Back
Top Bottom