Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbn sie huku inaendelea
au college ipi wamegoma?
Leo wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma ilitakiwa waanze mitihani yao ya kumalza semister ya pili, walimu wamegoma kutoa mitihani wakidai semister ya kwanza hawakulpwa hela za kusimamia na kusahisha.
hiko ndio chuo kikubwa Tanzania,
Toka lini vyuo vya umma vinawalipa walimu kwa kusimamia na kusahihisha Mitihani? Au vyuo vingine vina pesa hivyo na vinabania tu? Naomba kujulishwa.Leo wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma ilitakiwa waanze mitihani yao ya kumalza semister ya pili, walimu wamegoma kutoa mitihani wakidai semister ya kwanza hawakulpwa hela za kusimamia na kusahisha.
Toka lini vyuo vya umma vinawalipa walimu kwa kusimamia na kusahihisha Mitihani? Au vyuo vingine vina pesa hivyo na vinabania tu? Naomba kujulishwa.