UDOM kinanuka Jumatano

UDOM kinanuka Jumatano

zaidi ya ualimu kuna kazi gani ya maana wanapata?
UDOM ina kozi 74 kwa level ya degree mpaka sasa unataka kuniambiya kozi za ualim tu ndo wanapata kazi??e.g BSc Petroleum engineering,MD ni baadhi tu na wanafunzi wakimaliza tu kazi wanaajiriwa!jina la chuo halipimi "competent" ya mwanafunzi!ni wanafunzi wangapi wanaenda kwe usaili na bado wanapigwa chin na wanafunzi kutoka vyuo hivyo mnavyovidharau!
 
Div four ni pass or failure, tuanze apo first. Unajua walim wanaofundisha shule zenu hasa primary ambao ni.msingi wa elimu walipata div. gan ?
 
Mnaoiponda Udom sidhani kama elimu zenu zimewakomboa na wengi mnaonekana bado mpo chuo, ngoja mmalize mje na vyeti vyenu kitaa ndipo utajua kama iyo Mzumbe yako au Udsm itakupa kazi, Mimi nilimaliza Udom 2013 sikukaa omtaani zaidi ya miezi sita nikapata kazi, ata wanafunzi kutoka vyuo ambavyo wanajiona wao bora walikuwepo ila nikapata Mimi sababu ya uwezo wangu, maliza uje kitaa uone kama icho chuo chako kitakubeba
 
kesho ndio kesho lazma kinuke udom.
Mungu akubariki Waziri Mkuu wa social and humanities udom.
 
nakumbuka mwaka wa kwanza, degree ya kwanza; na course za kwanza kwa mwanachuo ni pamoja na communication skills. sijui UDOM ni tofauti?

ni hivyo hivyo, note taking listening , writing ,reading culture sema sasa hawa ndo wale hawaingii hivi vipindi wanaona ni rahisi
 
aliye anzisha uzi atakuwa diploma au cheti ,nyie mnaoponda vyuo bila shaka mtakuwa bado mpo chuo mkinaliza chuo ndo utajua kitaa kupo vp?
 
degree ya udom equals to certificate ya mzumbe

Yaani wewe na ki certificate chako cha MZUMBE ulichikipata na DDF za form four unajilinganisha na degree ya udom mtu aliyafualu form four na six kweli ww kilaza

Mzumbe tunaifaham vizur kabla hujatoka kijijin kwenu nanjilinji kuja kusoma

Wewe n kiazi mbatata
 
Tarabu hzo wakuu. kinacho matter unasoma nn chuoni. Wapo wanaosoma BA in Swahili UDSM wanaji proud. Utajilingansha na anaesoma MD UDOM?
 
Back
Top Bottom