SIPENDIUONGO
Member
- Feb 25, 2014
- 25
- 0
zaidi ya ualimu kuna kazi gani ya maana wanapata?
UDOM ina kozi 74 kwa level ya degree mpaka sasa unataka kuniambiya kozi za ualim tu ndo wanapata kazi??e.g BSc Petroleum engineering,MD ni baadhi tu na wanafunzi wakimaliza tu kazi wanaajiriwa!jina la chuo halipimi "competent" ya mwanafunzi!ni wanafunzi wangapi wanaenda kwe usaili na bado wanapigwa chin na wanafunzi kutoka vyuo hivyo mnavyovidharau!zaidi ya ualimu kuna kazi gani ya maana wanapata?
mhh kwel unadharau!course content ya certificate ufananisha na content ya degree!unaongeya tu bila ushahididegree ya udom equals to certificate ya mzumbe
labda kwe level ya certificate na div 4 yako ya BRNUdom chuo cha vilaza hata div four wanapokelewa yaani wanafunzi pamoja na uongozi mzima hakuna kitu huwezi fananisha na MU au Udsm
degree ya udom equals to certificate ya mzumbe
degree ya udom equals to certificate ya mzumbe
degree ya udom equals to certificate ya mzumbe
nakumbuka mwaka wa kwanza, degree ya kwanza; na course za kwanza kwa mwanachuo ni pamoja na communication skills. sijui UDOM ni tofauti?
degree ya udom equals to certificate ya mzumbe