UDOM kinanuka Jumatano


Kudadadadeki.
 
BScE Ongera kwa kukashfu udom.

Unachojua wewe ni BSc Education?
Sina haja ya kubishana na wewe wala siwezi kuweka taaluma yangu hapa maana hakuna ulazima, kama unaamini Udom ni chuo bora endelea kuamini hivyo hivyo maana huna jinsi mkuu.
Kama unataka kuonekana hapa weka hata password yako ya aris ili tuone matokeo yako.
 
Toa hoja mkuu, imethibitika watu wanaotoa matusi JF ni watu wanaokosa hoja kusupport maoni yao, chukua tahadhari usijekuhesabiwa kwenye kundi hili.

matusi unayajua ww au unaona kuna tusi hapo ukiambiwa umefanana na mama ako umetukanwa?
 

Ni pm nkutumie .
 
Intellectuals wanauwezo wako ???hivi wewe ni mtanzania na babu yako ni mkulima? ,weewe jamaaa ni jinga kabsaa in ths country
 
Majitu mengine MAPUMBAVU...... Eti jitu zima linapondea UDOM!!!!! Uwiiii ukifuatilia utakuta kamaliza bachelor yake TEKU masters MUM!!!! We c ndo ----- mzoefu. Nyooooo........ kichwa kikubwa ndani hakuna kitu.
Wengne wanajshaua tu, na bachelor zao za MU na UDSM vyeti wanalalia chini ya godoro. Vingne vinachakalia ndani ya bahasha! Sa we una nini cha maana sana.? Kama wewe unapapenda UDSM beba chuo ukihamishie kwenu!
Mijicho na mimate inawatoka. Maneno ya mkosaji tu, hapo unatamani hata ukope pesa uende kupaone how great it is!!!!!!
Am proud kusoma udom! Ndo namalizia malizia.... God is great.
 


Mawazo ya mpumbavu asiye jitambua
 

Nimekudharau sana!!
Umeonyesha ulimbuken wako
 
Kweli nimeamini UDOM kumejaa vilaza wa kutosha. Hii ndio nn sasa umeandika? Yaani jitu likishafeligi secondary ujue ni lijinga sana , mm ningekuwa na office nisingekaa nikaajiri mtu wa UDOM wala SAUT

Ndio maana huna office kilaza wewe!
 
nakumbuka mwaka wa kwanza, degree ya kwanza; na course za kwanza kwa mwanachuo ni pamoja na communication skills. sijui UDOM ni tofauti?

Kuna DS (compendium you must read). Na LG ndio communication skills
 
degree ya udom equals to certificate ya mzumbe

------ wewe, na kama una bachelor au upo chuo basi ulifika kwa bahati mbaya (kenge kwnye msafara wa mamba) bila kuelewa maana ya elimu ya juu. Hizi ni akili za level ya darasa la 5.
 
Udom chuo cha vilaza hata div four wanapokelewa yaani wanafunzi pamoja na uongozi mzima hakuna kitu huwezi fananisha na MU au Udsm
Uzuri wa mtu katika fani si chuo ulichosomea ni mtu mwenyewe japo sijasoma UDOM.Mbona mtu anaanzia ualimu grade A baadaye anakuja kujitambua kuna mahali alitetereka anarekebisha makosa anajiendeleza mpaka anakuwa professor.Wewe uliyeandika hapa ni kilaza na kama umesoma hujaelimika unaongelea ushabiki wa vyuo bila kujitambua.
 
ذزدج يجذج ذغ يظعاج
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…