Hivi bodi na wizara wangetimiza majukum yao,kna mtu angefikiria kwenda nyerere scquare kweli, hii fukuza fukuza, ina nia ya kutengeneza kundi la wasomi lenye uoga wa kuuliza mambo ya msingi yanayowahusu ktk mustalabar mzima wa elimu yao, kwel serikal wanatengeneza viongoz wabaadae wenye kutetea rasilimali za nchi kwa mioyo mmoja na kujiamini, kwa mtindo huu wa kunyamaza kimya pale haki zao za msingi zinapopindishwa, kamwe tanzania hapatokua na uongozi imara km waliokuwepo hawaoneshi dira sahihi kwa sis viongoz wa kesho, wanatuaminisha amani isiyokuwa na misingi ya haki.