UDOM kuandamana kwenda Bungeni

UDOM kuandamana kwenda Bungeni

IS IT RIGHT

  • WHY

    Votes: 1 100.0%
  • WHAT TO DO

    Votes: 1 100.0%

  • Total voters
    1
Sidhani kama Lema anahusika bana. CCM wakishindwa kazi wanawasingizia CDM. Kunyimwa peas za field kuna uhusianao na Lema kweli?
 
Tatizo Tanzania inaongozwa na mwendawazimu(a.k.a muogopa midaharo). inakuwaje hela ya sitting allowance kwa wabunge iwepo harafu wasiwe na hela ya kuwapeleka wanafunzi field?
 
lema kakesha udom umemuona mkuu mbona mnapenda kuropoka? Au kwasababu mmepewa uhuru wa kuongea? Hili suala si la kushikirisha siasa za fitina. Jamaa wamegoma kwasababu hawana mafunzo kwa vitendo kitu ambacho ni muhimu sana, fikiria grade A, diploma wanakwenda practical training halaf mtu anajita graduate hana field inakuigia akilin hii? Hapo lema anaingia vp? Cha muhim niny mnaojita wenye nchi na jamaa yenu huyo kikwete muache mambo ya ajab mmekalia kuwagawanya wananch. Upuuzi huu tuche.
 
Poleni xana wanaharakati wa kweli..Haki haitafutwi ukiwa umesinzia ama kulala.. Mmeonyesha njia nzuri ya kupambana kwa hoja na baadayae maandamano. Haya yamefikiwa baada ya kudanganywa na kuahidiwa kuwa mtafanya mazoezi kwa njia ya vitendo na mwanasiasa.
Mwanaharakati hana Likizo..
Endeleeni kuhoji na kupigania haki zenu za msingi kama hizo. Tunajua yanayowasibu hapo Duniani na Hakika komaeni vilivyo kwani SAA YA UKOMBOZI YAJA. Inakera sana... Hiki kizazi kiko makini kila sekunde iendayo hivyo kuleta SIASA katika masuala ya msingi kama haya ambayo yanawanyima wanafunzi fursa ya Kuajiriwa katika sekta mbalimbali kwa kukosa uzoefu ni Hatari na hatuwezi kuyafumbia macho.
Mliapa kutetea na kulinda Watanzania lakini leo ninyi ndiyo watu wa kwanza kuwa maadui zao.
Kumbukeni mnaishi Duniani na si Angani. Zama zenu zitapita mithili ya Sodoma na Gomora. Kwanini tulizaliwa mahali hapa? ni Maswali yanayoujaza hasira na chuki ya moyo wangu. JE wasomi tunaowanyanyapaa sasa wakija kushika hatamu kuna umuhimu wowote wa kulipa kisasi kwa yale wanayofanyiwa sasa? Hapana tusifike huko kwani Fikra sahihi ni chanzo cha Busara. Inaliza na Inauma. Kwetu kumekuwa kwao, Yule ameuvaa ujuha na Juha amekuwa mwerevu mpumbavu. Bon Voyage dont give up.....
 
Ni habari za kusikitisha, poleni sana ndugu zetu wa udom, serikali yetu si sikivu so inahitaji force kama hiyo, kila wakati inatoa majibu mepesi kwa masuala mazito na ya msingi. ila kumbukeni msitoke nje ya lengo
 
cjakuelewa kwa hiyo udom inawakilisha kata gani? mbona utakwama wewe! si wanafunzi wa tz yote jamani wapo pale
 
Uongozi wa udom umebandika majina ya wanafunzi mia moja na zaidi ambao wamefukuzwa pamoja na kozi zima ya international relation mwaka wa pili.my take;kwa wale waliokuwa na nyazifa uongozi wa vijana chadema wahusishwa na mgomo wa wanafunzi pamoja na udini kudai haki yao ya field.
 
hebu tuwekee vizuri mkubwa..majina yamebandikwa na chuo kimesema kitawafukuza lini hao watu? au wameshafukuzwa?
Mbona wanachuo wa UDOM mnatuangusha kwa kuleta threads zinazoelea juu juu?
jenga hoja kijana au hukusoma critical thinking?
 
Mh..kwel dunian kuna mambo,hilo umesikia wap?na majina yamebandikwa wap?..ila so tatizo lako ni umagamba wako.
 
Ndugu zangu nilikuwa kimya kwa sababu kwa dakika 20 wanaudom walitokwa na machozi pindi waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi akiwa akihutubia maelfu ya watu kwani eti kudai field na sio haki ya mwanachuo.
Pia ktk hayo majina yamehusishwa na siasa pamoja na udini.
Ni kweli wamefukuzwa
 
poleni sana wana UDOM msihofu kwani bado tupo kwenye mapambano zidi ya hawa mabepari. hata mandela alifungwa babu zetu walipigwa bakoara na wakoloni na mbarak alitia mafifari na kuwafwatulia wananchi risasi lakini mwisho nadani hata wenyewe mnaujua so msihofu maisha mazuri yako mbele ndugu zangu.huu unyonyaji utaisha tu.
 
uongozi wa chuo cha udom leo jioni imetoa list ya majina zaidi ya mia moja wamefukuzwa chuo ila kutika kufukuzwa kwa hao wanafunzi kumehusishwa na chadema pamoja na ukristo kwani hapo nyuma kulikuwa na majina ya wanafunzi ambao ni wanachama wa chadema walitakiwa wafukuzwe so kupitia mgomo wa kudai haki ya wanafunzi ambao hawajapata field chuo ndio kikapata sababu ya kuwafukuza hao wanafunzi.Pili katika udini ni kwamba kuna wanafunzi walikuwa nanapinga kuwepo na waslamu wengi ambao uongozi wa chuo ulikuwa unataka wapite ili wachaguliwe ktk uongozi wa serikali ya wanafunzi ambao ulileta ugomvi kati ya mashehe na mapadri hapo dodoma na baadaye kusululishwa.Nawasilisha
 
Hivi bodi na wizara wangetimiza majukum yao,kna mtu angefikiria kwenda nyerere scquare kweli, hii fukuza fukuza, ina nia ya kutengeneza kundi la wasomi lenye uoga wa kuuliza mambo ya msingi yanayowahusu ktk mustalabar mzima wa elimu yao, kwel serikal wanatengeneza viongoz wabaadae wenye kutetea rasilimali za nchi kwa mioyo mmoja na kujiamini, kwa mtindo huu wa kunyamaza kimya pale haki zao za msingi zinapopindishwa, kamwe tanzania hapatokua na uongozi imara km waliokuwepo hawaoneshi dira sahihi kwa sis viongoz wa kesho, wanatuaminisha amani isiyokuwa na misingi ya haki.
 
wamefukuzwa uku social ni wanafunzi 60 pamoja na kozi zima ya international relation 2nd yr while natural science wamefukuzwa 24
kwa hiyo hao course nzima second year walikuwa viongozi wa Chadema, na ni wadini?
 
Back
Top Bottom