UDOM kuandamana kwenda Bungeni

IS IT RIGHT

  • WHY

    Votes: 1 100.0%
  • WHAT TO DO

    Votes: 1 100.0%

  • Total voters
    1
walifanya nini hadi wakafutwa wao peke yao na si wote..?!!
 
Sipati picha anachosema mkuu hapa!! ebu funguka kaka!
 
Duuh! hii kali any ways life shud goes on no matter wat!
 
nilivyoelewa mimi wanafunzi 12 wamefukuzwa udom, wakiwemo viongozi wa bavicha. kisichoeleweka hapo ni nini sasa? au mnataka potezea maada tu.
 
Ni kwel majina yamebandikwa,na nikama ndo wamechafua hali ya hewa kwan kila mtu amekua mbogo na inavyo onekana kinachofuata ni violence.pia wametajwa watu ambao ni mashushu wa management hv sasa wanatafutwa kila kona.
 
ni kweli wamefukuzwa but reason si za kweli, uchadema na udini umekujaje?? Mimi mpaka now sjajua why kozi nzima international relation mwaka wa 2 wamefukuzwa, then ukitoa hao ir walobakia wengi wao ni wale walokua mstari wa mbele kwenye mgomo nafkiri source za video, spy wa usalama wa taifa ndo vilitumika kuwajua na kuwafukuza na si hizo za udini na uchadema
 
Nilifikiri Kawambwa amemaliza kazi baada ya kuelewa madai ya wanachuo hao, kumbe bado kansa ya uongozi bado nayo haijapatiwa tiba! Hivi ni chuo gani kinajiamulia mambo yake bila bodi ya chuo kutoa baraka zake? Hii ni kutokana na mazingira ya hao jamaa kufukuzwa ni kama ya ghafla mno na sababu zilizotolewa!
 
Ndugu yangu ninahuakika na ninachosema kwani kuna watu hawajashiriki kuwa ktk hayo maandamano ama kuwa mstari wa mbele na walijitoa kabisa ktk madai ya haki ya field ila majina yao yametoka kwenye iyo list.
 
hiyo koz nzima vip au vichwa sana katika kuuliza maswali yanayo husu mustakabar wa chuo.uenda huko kwingine ni bendela ufuata upepo,au ndo memba wa chadema? Matokeo ya serika weak na dhalimu.
 
Wanachokisema wana JF ni kwamba hatutaki thread hii itumike kupika majungu au mambo yasiyo na msingi katika sura ya udini na siasa! Suala hapa jenga hoja kwa kutoa maelezo ili ionekane kama kweli wewe ni msomi.
 
Duh! Mambo magumu hayo, poleni!
 
Mgomo ulianza tangu wiki iliyopita katika chuo kikuu cha Dodoma umezidi kupoteza hali ya amani katika kitivo cha sayansi ya jamii.Mpaka hivi sasa wanafunzi wote wa mwaka wa pili wanaochukua koz ya International Relation wapatao zaidi ya 60 wamesimamishwa masomo,wengine waliosimamishwa masomo ni wanafunzi 24 wa kitivo cha Natural Science akiwemo rais wao Bw.Lema.Madai hayo yanasababishwa na wanafunzi hao kukosa kufanya elimu ya vitendo.
 
Wanachokisema wana JF ni kwamba hatutaki thread hii itumike kupika majungu au mambo yasiyo na msingi katika sura ya udini na siasa! Suala hapa jenga hoja kwa kutoa maelezo ili ionekane kama kweli wewe ni msomi.
mbona nasomeka na inaeleweka
 
Sipati picha anachosema mkuu hapa!! ebu funguka kaka!
hali ni tete uku udom kama we ni mwanaharakati tena wa chadema hata kama ulikuwa umesafiri ila kwa kujulikana kwako jina lako utakuta limewekwa kwenye list kufukuzwa!
 
fafanua bana,me cjaelewa ni machafuko gan unayoyasemea hapo sasa?
 
Topic imenivuta kwa upande wa title,but maelezo yanakua kama hayatendei haki title yenyewe, anyway ....mi napita tu mazee
usipite ndugu yangu kwani uku udom kuna uozo wa kutosha ambao tunataka tujadili kwani iweje waziri mkuu atoe tamko kuwa na field ila leo hakane kauli yake. Alafu madai hayo yahusishwe na chadema!
 
huko social sciences wanaosoma kozi ya uhusiano wa kimataifa wote wamesimamishwa kwa ujumla kule ni zaidi ya 200 wamesimamishwa,muda mhuu magari yasiyokuwa ya chuo hayaingii wala kutoka UDOM,FFU wamejaa
 
Mbona thread ya awali ilisema ni wanafunzi 100? Ama wamefanya hivi tena.
 
waliowasimamisha hawajaweza kuanalyse na kujua athari za kuwahi kuwatimua chuo.wanajiundia bomu bila wao kujua.waombe ushauri kwa wenzao wakongwe wa udsm jinsi ya kudhibiti migomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…