Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilifikiri Kawambwa amemaliza kazi baada ya kuelewa madai ya wanachuo hao, kumbe bado kansa ya uongozi bado nayo haijapatiwa tiba! Hivi ni chuo gani kinajiamulia mambo yake bila bodi ya chuo kutoa baraka zake? Hii ni kutokana na mazingira ya hao jamaa kufukuzwa ni kama ya ghafla mno na sababu zilizotolewa!ni kweli wamefukuzwa but reason si za kweli, uchadema na udini umekujaje?? Mimi mpaka now sjajua why kozi nzima international relation mwaka wa 2 wamefukuzwa, then ukitoa hao ir walobakia wengi wao ni wale walokua mstari wa mbele kwenye mgomo nafkiri source za video, spy wa usalama wa taifa ndo vilitumika kuwajua na kuwafukuza na si hizo za udini na uchadema
Ndugu yangu ninahuakika na ninachosema kwani kuna watu hawajashiriki kuwa ktk hayo maandamano ama kuwa mstari wa mbele na walijitoa kabisa ktk madai ya haki ya field ila majina yao yametoka kwenye iyo list.ni kweli wamefukuzwa but reason si za kweli, uchadema na udini umekujaje?? Mimi mpaka now sjajua why kozi nzima international relation mwaka wa 2 wamefukuzwa, then ukitoa hao ir walobakia wengi wao ni wale walokua mstari wa mbele kwenye mgomo nafkiri source za video, spy wa usalama wa taifa ndo vilitumika kuwajua na kuwafukuza na si hizo za udini na uchadema
Duh! Mambo magumu hayo, poleni!Wanafunzi wengine ni, 11. NDASHAU, Elibariki, 12. JOSEPH, Patrick, 13. STAMBULI, Issa, 14. BWIRE, Stephano, 15, KAZAZA, Stanslaus, 16. GULANO, Edwin, 17. JOHN, Sothery, 18. DANIEL, Makuri. 19. MDOGO, Mchani, 20.KILIMO, Thomas, 21. LUKINDO, Seif S. 22. LYAGENDO, Elias 23. MNOSI, Cathbert 24. MOROGORO, Jumapil
mbona nasomeka na inaelewekaWanachokisema wana JF ni kwamba hatutaki thread hii itumike kupika majungu au mambo yasiyo na msingi katika sura ya udini na siasa! Suala hapa jenga hoja kwa kutoa maelezo ili ionekane kama kweli wewe ni msomi.
hali ni tete uku udom kama we ni mwanaharakati tena wa chadema hata kama ulikuwa umesafiri ila kwa kujulikana kwako jina lako utakuta limewekwa kwenye list kufukuzwa!Sipati picha anachosema mkuu hapa!! ebu funguka kaka!
fafanua bana,me cjaelewa ni machafuko gan unayoyasemea hapo sasa?Mgomo ulianza tangu wiki iliyopita katika chuo kikuu cha Dodoma umezidi kupoteza hali ya amani katika kitivo cha sayansi ya jamii.Mpaka hivi sasa wanafunzi wote wa mwaka wa pili wanaochukua koz ya International Relation wapatao zaidi ya 60 wamesimamishwa masomo,wengine waliosimamishwa masomo ni wanafunzi 24 wa kitivo cha Natural Science akiwemo rais wao Bw.Lema.Madai hayo yanasababishwa na wanafunzi hao kukosa kufanya elimu ya vitendo.
usipite ndugu yangu kwani uku udom kuna uozo wa kutosha ambao tunataka tujadili kwani iweje waziri mkuu atoe tamko kuwa na field ila leo hakane kauli yake. Alafu madai hayo yahusishwe na chadema!Topic imenivuta kwa upande wa title,but maelezo yanakua kama hayatendei haki title yenyewe, anyway ....mi napita tu mazee
TUNASHUKURU, ila hali ni tete kweli yaani.Duh! Mambo magumu hayo, poleni!