N nkwezi Member Joined May 8, 2007 Posts 57 Reaction score 19 Feb 14, 2012 #1 Jamani UDOM wameshaita watu kazini kwa waliofanya oral interview? Au mwenye tetesi atujuze nini kinaendelea?
Jamani UDOM wameshaita watu kazini kwa waliofanya oral interview? Au mwenye tetesi atujuze nini kinaendelea?
King2 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 1,277 Reaction score 182 Feb 14, 2012 #2 Mlacha kasha waajiri vijeba wenzake.
N nkwezi Member Joined May 8, 2007 Posts 57 Reaction score 19 Feb 14, 2012 Thread starter #3 King2 said: Mlacha kasha waajiri vijeba wenzake. Click to expand... Mmmmh mbona hata mimi ni kijeba, au kuna walionizidi?
King2 said: Mlacha kasha waajiri vijeba wenzake. Click to expand... Mmmmh mbona hata mimi ni kijeba, au kuna walionizidi?
Jeff JF-Expert Member Joined Sep 26, 2009 Posts 1,293 Reaction score 200 Feb 15, 2012 #4 nkwezi said: Mmmmh mbona hata mimi ni kijeba, au kuna walionizidi? Click to expand... sasa kama nawe ni kijeba huku jf unamuuliza nani? Si ukamuulize huyo mlacha?shit
nkwezi said: Mmmmh mbona hata mimi ni kijeba, au kuna walionizidi? Click to expand... sasa kama nawe ni kijeba huku jf unamuuliza nani? Si ukamuulize huyo mlacha?shit
B balongo Member Joined Feb 15, 2012 Posts 10 Reaction score 0 Feb 15, 2012 #5 Jeff said: sasa kama nawe ni kijeba huku jf unamuuliza nani? Si ukamuulize huyo mlacha?shit Click to expand... Tuache jokes, naomba mwenye taarifa sahihi atujuze. Wapo watu wanasubiria kwa hamu kubwa sana kwani walifanya oral hasa mdogo wangu alifanya kwa nafasi ya udereva na alifanya toka mwezi wa kumi na mbili.
Jeff said: sasa kama nawe ni kijeba huku jf unamuuliza nani? Si ukamuulize huyo mlacha?shit Click to expand... Tuache jokes, naomba mwenye taarifa sahihi atujuze. Wapo watu wanasubiria kwa hamu kubwa sana kwani walifanya oral hasa mdogo wangu alifanya kwa nafasi ya udereva na alifanya toka mwezi wa kumi na mbili.