UDOM kulikoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

UDOM kulikoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

nkwezi

Member
Joined
May 8, 2007
Posts
57
Reaction score
19
Jamani UDOM wameshaita watu kazini kwa waliofanya oral interview? Au mwenye tetesi atujuze nini kinaendelea?
 
Mlacha kasha waajiri vijeba wenzake.
 
sasa kama nawe ni kijeba huku jf unamuuliza nani? Si ukamuulize huyo mlacha?shit

Tuache jokes, naomba mwenye taarifa sahihi atujuze. Wapo watu wanasubiria kwa hamu kubwa sana kwani walifanya oral hasa mdogo wangu alifanya kwa nafasi ya udereva na alifanya toka mwezi wa kumi na mbili.
 
Back
Top Bottom