Udom kumekucha!

Udom kumekucha!

BAPUPEGHE

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
220
Reaction score
38
Katika hali iliyojili leo hapa UDOM KITIVO CHA ELIMU, Kila mtanzania mpenda maadili anapaswa kuupongeza uongozi.

Inasemekana zaidi ya wanafunzi kumi na, wametimuliwa chuo kwa kosa la kuvaa mavazi feki.

Taarifa zilizozagaa ktk kitivo hiki ni kuwa kumekuwa na tabia ya wadada kuvaa nguo ambazo haziendan na maadili ya taaluma yao na tamaduni za tz kwa ujumla.

SAFI SANA Vice Dean! Hata hivyo nilivyopita baadhi ya block wamepanga kuanza kutembeza kichapo cha mbwa mwizi kwa msichana yeyote atakayekutwa anavaa nguo za KIKANJANJA.
 
kama ni kweli...narudia tena kama ni kweli!!! ni mfano mzuri!!! sasa hiyo iende ifm,udsm cbe...
 
WTF$¤¥..upuuzi kabisa huu.. state university inakaa kufatilia wanawakke wamevaa vazi hili huyu kavaa lile..icho chuo cha kanisa ama hiyo ni madrasa?? Yapo mambo ya msingi ya kufatilia suala la mavazi ni suala la mtu binafsi kujiadminister...nakumbuka UDSM VC aliwahi kusema hivi "suala la mavazi it is too cheap kuizungumzia hapa..hichi chuo hakiiadmit watu kwa sababu ya tamaduni zao..tunaangalia mambo makubwa kama historia na uwezo wa mtu kitaaluma.. Hiki chuo kina watu tofauti wanatoka nchi tofauti, africa, ulaya na asia..suala la mavazi tutaliacha kama choice ya mtu binafsi, ataongozwa na dhamira yake, ila hatujatamka mtu atembee uchi, tuna mengi ya kushuhulikia kama maswala ya taaluma na tafiti mbalimbali"..mwisho wa kunukuu.. Naona UDOM imepoteza mwelekeo warudi kuangalia vitu kama hygiene katika hiko chuo sababu maeneo mengi ni machafu japo ni kipya..mtakumbuka iliwahi kutolewa katika taarifa ya habari last year wakionesha jinsi vyoo vya hicho chuo uhaba wa maji unvyoviathiri..hayo ni mambo ya kushughulikia acheni mambo mepesi hayo.
 
Yaonyesha hujengi bali unabomoa, acha ETHICS AND PROFESIONALISM zisimamiwe, utajisikia Mwl anamfundisha mwanao akiwa shabby?
 
WTF$¤¥..upuuzi kabisa huu.. state university inakaa kufatilia wanawakke wamevaa vazi hili huyu kavaa lile..icho chuo cha kanisa ama hiyo ni madrasa?? Yapo mambo ya msingi ya kufatilia suala la mavazi ni suala la mtu binafsi kujiadminister...nakumbuka UDSM VC aliwahi kusema hivi "suala la mavazi it is too cheap kuizungumzia hapa..hichi chuo hakiiadmit watu kwa sababu ya tamaduni zao..tunaangalia mambo makubwa kama historia na uwezo wa mtu kitaaluma.. Hiki chuo kina watu tofauti wanatoka nchi tofauti, africa, ulaya na asia..suala la mavazi tutaliacha kama choice ya mtu binafsi, ataongozwa na dhamira yake, ila hatujatamka mtu atembee uchi, tuna mengi ya kushuhulikia kama maswala ya taaluma na tafiti mbalimbali"..mwisho wa kunukuu.. Naona UDOM imepoteza mwelekeo warudi kuangalia vitu kama hygiene katika hiko chuo sababu maeneo mengi ni machafu japo ni kipya..mtakumbuka iliwahi kutolewa katika taarifa ya habari last year wakionesha jinsi vyoo vya hicho chuo uhaba wa maji unvyoviathiri..hayo ni mambo ya kushughulikia acheni mambo mepesi hayo.

halifichiki eeee halifichiki
pembe la ng'ombe
 
Vipi Teaching and Learning materials kupatikana kwake kunatiliwa mkazo kiivyo?
 
WTF$¤¥..upuuzi kabisa huu.. state university inakaa kufatilia wanawakke wamevaa vazi hili huyu kavaa lile..icho chuo cha kanisa ama hiyo ni madrasa?? Yapo mambo ya msingi ya kufatilia suala la mavazi ni suala la mtu binafsi kujiadminister...nakumbuka UDSM VC aliwahi kusema hivi "suala la mavazi it is too cheap kuizungumzia hapa..hichi chuo hakiiadmit watu kwa sababu ya tamaduni zao..tunaangalia mambo makubwa kama historia na uwezo wa mtu kitaaluma.. Hiki chuo kina watu tofauti wanat"

Wewe unaona ni sahihi sisi kama taifa kupoteza misingi ya maadili na utamaduni wetu kwa kua eti tunasoma na watu wa mataifa mbali mbali ?

mbona wao ukienda kwao lazima ufuate utaratibu utakaoukuta na kamwe hawa entertain mambo yako uliotoka nayo kwenu?. huo ni ufinyu wa mawazo na kukosa kujiamini katika kutetea utamaduni wetu.
 
Tuangalie upand wa pil kwa kuwafkuza tnawajenga au tnaongeza wezi?
PEPO YA MABWEGE
 
Hongereni kwa hatua ya kuanza kurudisha nidhamu ya mavazi.Nasikia mwanzoni walikuwa wanaamini "mficha uchi hazai"
 
Saut mwanza walianza sasa naona kila chuo kna copy na kupaste viva saut
 
Tanzania tuna matatizo mengi sana,, swala la mavazi its too cheap kulizungumzia na kuacha matatizo ya maana yanayokikumba chuo..
 
WTF$¤¥..upuuzi kabisa huu.. state university inakaa kufatilia wanawakke wamevaa vazi hili huyu kavaa lile..icho chuo cha kanisa ama hiyo ni madrasa?? Yapo mambo ya msingi ya kufatilia suala la mavazi ni suala la mtu binafsi kujiadminister...nakumbuka UDSM VC aliwahi kusema hivi "suala la mavazi it is too cheap kuizungumzia hapa..hichi chuo hakiiadmit watu kwa sababu ya tamaduni zao..tunaangalia mambo makubwa kama historia na uwezo wa mtu kitaaluma.. Hiki chuo kina watu tofauti wanatoka nchi tofauti, africa, ulaya na asia..suala la mavazi tutaliacha kama choice ya mtu binafsi, ataongozwa na dhamira yake, ila hatujatamka mtu atembee uchi, tuna mengi ya kushuhulikia kama maswala ya taaluma na tafiti mbalimbali"..mwisho wa kunukuu.. Naona UDOM imepoteza mwelekeo warudi kuangalia vitu kama hygiene katika hiko chuo sababu maeneo mengi ni machafu japo ni kipya..mtakumbuka iliwahi kutolewa katika taarifa ya habari last year wakionesha jinsi vyoo vya hicho chuo uhaba wa maji unvyoviathiri..hayo ni mambo ya kushughulikia acheni mambo mepesi hayo.
we ni mpuuzi kabisa acha ujinga wako.
 
Mkuu, usishangae. Hata ofisi za serikali ziko hivyo. Priority ni mavazi na hair style., haijalishi kama hau-perform ama vipi! As long as unavaa kitenge kimefunika hadi shingo, unatapa na zawadi ya ufanyakazi bora. Unawahi kila siku saa moja na kupiga majungu na kinywa chai thermos nzima, boss roho kwatuu! Uswahili kazi sana.
Ushaoan eenh?

Priorities ziko twisted to the antipode!
 
Katika hali iliyojili leo hapa UDOM KITIVO CHA ELIMU, Kila mtanzania mpenda maadili anapaswa kuupongeza uongozi.

Inasemekana zaidi ya wanafunzi kumi na, wametimuliwa chuo kwa kosa la kuvaa mavazi feki.

Taarifa zilizozagaa ktk kitivo hiki ni kuwa kumekuwa na tabia ya wadada kuvaa nguo ambazo haziendan na maadili ya taaluma yao na tamaduni za tz kwa ujumla.

SAFI SANA Vice Dean! Hata hivyo nilivyopita baadhi ya block wamepanga kuanza kutembeza kichapo cha mbwa mwizi kwa msichana yeyote atakayekutwa anavaa nguo za KIKANJANJA.

Watanzania tuna matatizo, badala ya kuwadhibiti mafisadi na wahujumu wa maendeleo ya Taifa tunashadadia kuvifukuza shule vibinti under 22yrs kisa vimevaa sketi fupi.
 
thats great wajitahid kufuatilia na mambo mengine pia
 
Back
Top Bottom