Udom kumekucha!

Udom kumekucha!

Katika hali iliyojili leo hapa UDOM KITIVO CHA ELIMU, Kila mtanzania mpenda maadili anapaswa kuupongeza uongozi.

Inasemekana zaidi ya wanafunzi kumi na, wametimuliwa chuo kwa kosa la kuvaa mavazi feki.

Taarifa zilizozagaa ktk kitivo hiki ni kuwa kumekuwa na tabia ya wadada kuvaa nguo ambazo haziendan na maadili ya taaluma yao na tamaduni za tz kwa ujumla.

SAFI SANA Vice Dean! Hata hivyo nilivyopita baadhi ya block wamepanga kuanza kutembeza kichapo cha mbwa mwizi kwa msichana yeyote atakayekutwa anavaa nguo za KIKANJANJA.

mnaacha kushughulikia maswala muhimu kama ya maji,chakula bora,walimu wa kutosha na wenye vigezo vinavyostahili,malipo au upatikanaji wa fedha za wanafunzi kwa muda na wakati,kuaanda seminnar na midahalo ya kitaifa na kimataifa kuhusu hali mbaya za kiuchumi na kisiasa kwa taifa letu mnatuletea hii pumba humu!
wewe ulieleta huu ujinga humu na hao waliofanya huo ujinga hamna cha maana cha kufanya au kuwaambia wataalam wa tz?aujamii ya wa tz ni vipi watondokana na umaskini wao?
 
Tanzania tuna matatizo mengi sana,, swala la mavazi its too cheap kulizungumzia na kuacha matatizo ya maana yanayokikumba chuo..

Bado hujakua, hivi kweli kama wewe ni mzazi ungependa uone mwanao anavaa nusu uchi na wanaume anavalia suruali mapajani? Kila mzazi mwenye kusikitishwa na maadili ya vijana wetu ataona hilo ni jambo la maana kupiga marufuku. Nyie ndio mnaolea ushoga na usagaji, uzinzi.
 
Sheria zinasemaje? kama zipo sheria zinazozuia mienendo fulanifulani na zimepitishwa na vyombo halali na wanafunzi kufahamu hizo sheria kabla ya kujiunga, basi hakuna kesi hapo. Kila sehemu ni bora kukawa na policies ili kila mtu ajue wajibu na haki zake/
 
bora,maana somtym na cc wadada tumezidi!mtu anavaa nguo hadi ww m2 mwingine unaona noma!safi sana,bigup udom!!watu hawana jema wa kwanza kulalamika ooh!maadili hakuna,hatua zikichukiliwa ooh!kuna mambo muhim zaidi ya hayo.lipi jema!?
 
Back
Top Bottom