WTF$¤¥..upuuzi kabisa huu.. state university inakaa kufatilia wanawakke wamevaa vazi hili huyu kavaa lile..icho chuo cha kanisa ama hiyo ni madrasa?? Yapo mambo ya msingi ya kufatilia suala la mavazi ni suala la mtu binafsi kujiadminister...nakumbuka UDSM VC aliwahi kusema hivi "suala la mavazi it is too cheap kuizungumzia hapa..hichi chuo hakiiadmit watu kwa sababu ya tamaduni zao..tunaangalia mambo makubwa kama historia na uwezo wa mtu kitaaluma.. Hiki chuo kina watu tofauti wanatoka nchi tofauti, africa, ulaya na asia..suala la mavazi tutaliacha kama choice ya mtu binafsi, ataongozwa na dhamira yake, ila hatujatamka mtu atembee uchi, tuna mengi ya kushuhulikia kama maswala ya taaluma na tafiti mbalimbali"..mwisho wa kunukuu.. Naona UDOM imepoteza mwelekeo warudi kuangalia vitu kama hygiene katika hiko chuo sababu maeneo mengi ni machafu japo ni kipya..mtakumbuka iliwahi kutolewa katika taarifa ya habari last year wakionesha jinsi vyoo vya hicho chuo uhaba wa maji unvyoviathiri..hayo ni mambo ya kushughulikia acheni mambo mepesi hayo.

WTF$¤¥..upuuzi kabisa huu.. state university inakaa kufatilia wanawakke wamevaa vazi hili huyu kavaa lile..icho chuo cha kanisa ama hiyo ni madrasa?? Yapo mambo ya msingi ya kufatilia suala la mavazi ni suala la mtu binafsi kujiadminister...nakumbuka UDSM VC aliwahi kusema hivi "suala la mavazi it is too cheap kuizungumzia hapa..hichi chuo hakiiadmit watu kwa sababu ya tamaduni zao..tunaangalia mambo makubwa kama historia na uwezo wa mtu kitaaluma.. Hiki chuo kina watu tofauti wanat"
Wewe unaona ni sahihi sisi kama taifa kupoteza misingi ya maadili na utamaduni wetu kwa kua eti tunasoma na watu wa mataifa mbali mbali ?
mbona wao ukienda kwao lazima ufuate utaratibu utakaoukuta na kamwe hawa entertain mambo yako uliotoka nayo kwenu?. huo ni ufinyu wa mawazo na kukosa kujiamini katika kutetea utamaduni wetu.
Vipi Teaching and Learning materials kupatikana kwake kunatiliwa mkazo kiivyo?
Hilo domo! Duh!!Tuangalie upand wa pil kwa kuwafkuza tnawajenga au tnaongeza wezi?
PEPO YA MABWEGE
we ni mpuuzi kabisa acha ujinga wako.WTF$¤¥..upuuzi kabisa huu.. state university inakaa kufatilia wanawakke wamevaa vazi hili huyu kavaa lile..icho chuo cha kanisa ama hiyo ni madrasa?? Yapo mambo ya msingi ya kufatilia suala la mavazi ni suala la mtu binafsi kujiadminister...nakumbuka UDSM VC aliwahi kusema hivi "suala la mavazi it is too cheap kuizungumzia hapa..hichi chuo hakiiadmit watu kwa sababu ya tamaduni zao..tunaangalia mambo makubwa kama historia na uwezo wa mtu kitaaluma.. Hiki chuo kina watu tofauti wanatoka nchi tofauti, africa, ulaya na asia..suala la mavazi tutaliacha kama choice ya mtu binafsi, ataongozwa na dhamira yake, ila hatujatamka mtu atembee uchi, tuna mengi ya kushuhulikia kama maswala ya taaluma na tafiti mbalimbali"..mwisho wa kunukuu.. Naona UDOM imepoteza mwelekeo warudi kuangalia vitu kama hygiene katika hiko chuo sababu maeneo mengi ni machafu japo ni kipya..mtakumbuka iliwahi kutolewa katika taarifa ya habari last year wakionesha jinsi vyoo vya hicho chuo uhaba wa maji unvyoviathiri..hayo ni mambo ya kushughulikia acheni mambo mepesi hayo.
Ushaoan eenh?
Priorities ziko twisted to the antipode!
Katika hali iliyojili leo hapa UDOM KITIVO CHA ELIMU, Kila mtanzania mpenda maadili anapaswa kuupongeza uongozi.
Inasemekana zaidi ya wanafunzi kumi na, wametimuliwa chuo kwa kosa la kuvaa mavazi feki.
Taarifa zilizozagaa ktk kitivo hiki ni kuwa kumekuwa na tabia ya wadada kuvaa nguo ambazo haziendan na maadili ya taaluma yao na tamaduni za tz kwa ujumla.
SAFI SANA Vice Dean! Hata hivyo nilivyopita baadhi ya block wamepanga kuanza kutembeza kichapo cha mbwa mwizi kwa msichana yeyote atakayekutwa anavaa nguo za KIKANJANJA.