kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
Katika hali iliyojili leo hapa UDOM KITIVO CHA ELIMU, Kila mtanzania mpenda maadili anapaswa kuupongeza uongozi.
Inasemekana zaidi ya wanafunzi kumi na, wametimuliwa chuo kwa kosa la kuvaa mavazi feki.
Taarifa zilizozagaa ktk kitivo hiki ni kuwa kumekuwa na tabia ya wadada kuvaa nguo ambazo haziendan na maadili ya taaluma yao na tamaduni za tz kwa ujumla.
SAFI SANA Vice Dean! Hata hivyo nilivyopita baadhi ya block wamepanga kuanza kutembeza kichapo cha mbwa mwizi kwa msichana yeyote atakayekutwa anavaa nguo za KIKANJANJA.
mnaacha kushughulikia maswala muhimu kama ya maji,chakula bora,walimu wa kutosha na wenye vigezo vinavyostahili,malipo au upatikanaji wa fedha za wanafunzi kwa muda na wakati,kuaanda seminnar na midahalo ya kitaifa na kimataifa kuhusu hali mbaya za kiuchumi na kisiasa kwa taifa letu mnatuletea hii pumba humu!
wewe ulieleta huu ujinga humu na hao waliofanya huo ujinga hamna cha maana cha kufanya au kuwaambia wataalam wa tz?aujamii ya wa tz ni vipi watondokana na umaskini wao?