Udom kuna nn?

Udnov

Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
18
Reaction score
1
Habar zenu wanajamvi, k ukwel leo nmeamua kufunguka hakuna k2 knachonkera kama utawala wa udom, watu tunaenda kufungua chuo hatujui hata matokeo we2 yamekaa vp zaid zaid 2napandishiana 2 michango ili viongoz wazid kuneemeka hii haikubalik kwa msomi yeyote kama vp kikanuke 2. Mawasilisha hoja
 
Huelew kwa 7b akil yako ndo ulivoitune heb iache ikuongoze then utaona kama hutoelewa
 
Ni kweli, hawa jamaa wametufanya wajinga sana. Ilikuwa Tsh. 100000 kwa ajili ya medical capitation kwa miaka yote ya masomo lakini
sas wamefanya kwa kila mwaka wa masomo ni tsh. 100000 ambayo huku hakuna kilichoboreshwa kwenye hospital zao. Jamani hili ni tatizo kwa wale wa second year maana imeanzia kwao.
 
poleni sna wana UDOM, mjipange ili kuweza kufanya mambo yenu vizuri maana chuo chenu kina mazingira ambayo kujiorganize ni ngumu kwani umbali kati ya college zenu ni safari za daladala au shuttle kwahiyo inakuwa ngumu kuweka nguvu pamoja lkn mkiamua you can make it.
 

tutawapiga tumechoka sasa
 
sa mnasubili nini gomeni ishi kuweni kama wana udsm hao majaa wanaeshiwa sana ata mkopo ndo hua wanakua wakwanza kupewa sasa nyie kaeni 2
 
Mana mana 2mechoka sasa, bongo ukijifanya ww unajua xana kutumia diplomasia ktk kudai hak itakula kwako, utakaa had 100yrz hujaipata hyo haki, kikubwa n kuingia barabaran
 
He sasa utajuaje umequlify kwenda next class. Wala hamna stress ya matokeo nyie. Poleni sana.
 
He sasa utajuaje umequlify kwenda next class. Wala hamna stress ya matokeo nyie. Poleni sana.

Matokeo tayari mkuu, hao ambao hawajawekewa my be acount zao za ARIS/SR zina matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…