Udom kwa waka moto

Udom kwa waka moto

Kazi kweli nyie watoto wa udom kumbe mnamihemuko.
 
UDOM vipi?Mtuwekee video ile kitu aliongea rafiki Mh 30 jana bungeni.Hicho chuo mpaka Nkamia anafaulu huku anafanya siasa?
 
wanaharakati wa ukweli na wanaofanya siasa zisizo za woga ni chuo kikuu cha SAUT hasa Mwanza,leo hii hata msukuma wa Nsumve anajua kusema 'People'ss kutokana na CDM SAUT.wengine wote waoga na wasaka kazi.
 
ukiyaka kuujadili udini wa udom tuanze kwanza ule udsm,sua,mzumbe,nelson mandela.tangu hivi vyuo vinaanzishwa hajawahi tokea vc mwislaam.itazame necta ilovyofaywa parokia tangu inaundwa mwaka 1973 hajawahi tokea mwrnyekiti mwislam wala katibu mtendaji mwislam.ni wagala tuu tena roman catholic wenvine hawana haki ya kuiongoza necta na inaonekana watoma ndio wenye bahati na akili nyingi sana.dhulma huwa inakikomo naamini hawa wakoloni wa roma wameanza kudondoka .mwendo huu huu mpaka haki sawa kwa watanzania wote.waislam,wakriisto na wapagani.

Peleka watoto shule mpuuzi wewe, unadhani vyeo vinagawiwa kama peremende!
 
hakuna moto wowote UDOM mtoa mada ametindikiwa ubongo ndio hao wachochezi, badala ya kusoma kwa bidii wanaleta upuuzi mtu. Hawa ndio vijana wanaofikiri kwa hisia badala ya uhalisia. Vijana wenye uhafifu wa weledi.
 
Hawa ndio vijana wa kileo wenye digrii wanakosa weledi wa kuchambua mambo na badala yake wanajikita na kukariri pasi kutafiti. HUO MOTO UKO WAPI? VIJANA ACHENI UDAKU, MNATUMIA FEDHA ZETU MATOKEO YAKE UWEZO WA KUFIKIRI NA KUTENDA MMEZIDIWA NA ASIYE ENDA SHULE. SHAME KWA VIJANA WA KATA K.wAVAAJI MILEGEZO NUSU SHOGA).FANYENI BIDII ZA MASOMO.
NINYI NDIO MANAOTULETEA UDINI NA MILEGEZO YENU HIYO, KULEWA POMBE NA KUSHINDA NA VISICHANA .
 
hakuna moto wowote UDOM mtoa mada ametindikiwa ubongo ndio hao wachochezi, badala ya kusoma kwa bidii wanaleta upuuzi mtu. Hawa ndio vijana wanaofikiri kwa hisia badala ya uhalisia. Vijana wenye uhafifu wa weledi.
 
Jamani wadau nina cd ya udini ya udom iliyokabidhiwa na mh. 30 kwa bi kiroboto. Nimeshindwa kui up load nielekezeni nifanyeje? Nataka wadau muione.
 
Muige wa SAUT-MWZ,Mafisadi wameweka hadi pesa lkn CHADEMA ikashinda,msituangushe makamanda.
 
Dr. Ramadhan Dau ni lecturer wa faculty gani hapo UDOM??
Au ni DEAN??

Wote mnaojadili mambo ya udini kwa mrengo wowote ule hamtendi sawa. Raia wa Tanzania ni mtu yeyote haijalishi yuko imani gani. Kama mnataka tufikie kuhoji dini za watu kwanza ndo wafikiriwe kupewa uongozi au kazi utakuwa ni upumbavu wa hali ya juu. Endeleeni na mivutano ya namna hii muone kama kutakuwa na mshindi. Kusema chuo kikuu fulani ni cha dini fulani ni upumbavu mwingine. Ni uchochezi wenye lengo la kugawa jamii. Je, ni kweli kwa mfano kusema marais wa Daruso wa chuo kikuu cha Dar tangu kianzishwe ni wakristo. Kuna mtu namfahamu ni kiongozi mkuu wa nchi yetu kwa sasa aliwahi kuwa kiongozi wa Daruso. Tukichagua viongozi kidini hatutafika mbali. Tujaribu tuone!!
 
UDSM nako mambo ya uchaguzi yameanza.....
Nadhani ndo msimu wa chaguzi vyuon......
 
Tuwe makini sana na hoja zetu tz ni moja mtu achaguliwe kwa uwezo na si vinginevyo. Pia tukumbuke tupo kitaaluma zaidi.
 
Uchaguzi wa mwaka huu cjui! Kamati tu wamejazana madem wa viongozi, anaegombea urais hasa huyo smbody Majid tunahesabu keshapita cuz wadini wenzie wameshaanza kumkingia kifua. Tunajua yeye ni kibaraka wa islamization km alivyokuwa mtinda. Huo mchuo umeshaoza, maamuzi yanafanywa kwa malalamiko au matakwa ya wachache. Hv tu udini umesababisha biashara ya alcohol iliyokuwa inafanywa na moja ya wawekezaji wa sekta ya chakula ifungwe kisa islamization! Why always muslims tu? Labda muweke wagombea wawili wa kiislam ila akiwekwa mkristo na mslam basi yale ya mwaka juzi yatarudia! UDOM sio inawaka moto tu...iko mbioni kufa! Na ife..!
 
Back
Top Bottom