UDOM Kwawaka moto; college of informatics and virtual education IMEFUNGWA

UDOM Kwawaka moto; college of informatics and virtual education IMEFUNGWA

timua timua timua timua wakakae kitaa waone joto lake mbona akili itawarudi mkichwa and I hope watapata leson. wahusika timueni wote wanaoleta utoto na chukueni wengine wenye kuhitaji shule na sio migomo
watimuliwe then wat? Wewe mark huu {uccm-ism} unakusumbua,cjui hata wafanya nini humu jamvini,au na wewe ni mmoja wa wapiga kampeni ya Kuokoa Three tweens??
 
Mmmmhh!!! Mkuu,

Are you at work? Hongera!!!!

Tiba
 
Ninachofahamu mimi kuwa Udom ndo wale wasomi wa vyuo vikuu Dodoma waliomchangia JK pesa za fomu ya urais. Hajawakumbuka?
 
wanagoma nini? wanafiki tu .... walimchangia jk kwa furaha sasa wanalia nini.
 
Wazazi wao hawana hata hela yakula huko vijijini,bei za vi2 zimepanda e.g vyakula,mafuta kila ki2 tafrani,maisha yanazidi kuwa magumu,badala yakugoma maisha yawe marahic ili familia zipate milo mi3 gharama za maisha zishuke,wao wanataka laputopu,ki2 gani kama c kukosa fikra za maendeleo?
 
wakileta utoto zaidi ni kufukuza wote watakao leta fujo moja kwa moja. kwani wanaohitaji kusoma ni wengi. mbona isue kama hizo za kutimua moja kwa moja zimesha tokea nchi nyingi tu. naona hiyo itakuwa solution kwa wanaoandamana kwa ajili ya isue ambazo siyo critical kiivo. bila kuwa na hizo laptop hawawezi kusoma?

Swali la kuwafukuza moja kwa moja siyo jipya. Kumbuka miaka ya sabini kama sijakosea students dar university walitimulia baada ya kuudhi uongozi wa inchi na kauli afadhali mkoloni . Ukweli wa mambo uhuru siyo umaskini uliokithiri,uhuru siyo mlo mmoja(tena ukibahatika)kwa siku,uhuru siyo ukosefu wa ajira zaidi ya 47.999999% etc etc.Students unite.
 
coet yenyewe walitutishia hivyo hivyo mwisho wakaachia. vijana maisha ni mapambano. tupo pamoja.
 
Ndio mapambano yenyewe hakuna urahc katika mapambano
 
big up udom, nawashangaa mnao support ukandamizaji, wizi udom haujaanza semwa leo ila hatua zozote hazijachukuliwa. vyuo vingi ulala mbele na hii ela ya kitivo, hasa vyuo binafsi coz ukandamizaji ni mkubwa. mkianza andamana leo kwa kunyimwa haki yenu, hata mtakapoingia uraiani mtaandamana kijamii zaidi.
 
We unayejiita mr. Mark sijui,acha kuropokwa ili ufurahishe umati.Kama kitu hukijui kaa kimya ili uambiwe au na wewe baba yako ni mmojawapo wa hawa wanaofuga vitambi vyao kwa ufisadi? Wanafunzi wa informatics wanadai hela zao za mahitaji maalumu ya kitivo (special faculty requirements) ambazo hawajawahi kupewa tangu chuo kianzishwe zinaliwa na hawa wajinga wachache,hayo mambo ya laptop alipendekeza waziri mkuu mh. Mizengo Pinda na kusema ataangalia uwezekano huo (ANGALIZO:kama inawezekana kuwalipa DOWANS bilioni 94 tena bila bajeti hata hili linawezekana ingawa sivyo wanafunzi walivyoomba).Na unayesema wanafunzi walimchangia kikwete acha ufinyu wa mawazo wa kufikiri 'KILA MZUNGU NI PADRI'.Nyie ndo vibaraka mnaokumbatia ukandamizaji katika hii nchi,lakini ngoja tuache magugu yakue pamoja na ngano itafahamika tu!
 
Tupo pamoja wakubwa..piganieni haki zuna hata kama itakuja kuwabenefit future generation.
 
hapa ndio najua kuwa watu wanalaumu bila kuangalia chanzo ni nini ,ninachoelewa watu hawawezi kuamka na kuanza kunji bila sababu hivyo ni haki yao kufanya maandamano na pia ni haki yao kugoma maana wanatetea maisha yao. ni vizuri walivyogoma maana wakirudi watawala watakuwa wamejifunza jinsi ya kudeal na wanafunzi. hizo fedha ambazo wanadai za faculty reguirement inabidi wapewe ili kusaidia masomo yao na ahadi za kwenda kuwadannganya kuwa kila mwanafunzi atapata laptop ndio imewaponza.

hivyo basi ni jukumu letu sisi wote watanzania kusimama kidete kuwatetea hawa wanafunzi warudi chuoni kwa kuwa kukaa uraiani wanamaliza kodi yangu mimi na wewe ambayo tunalipa kwa ajili ya kuendesha chuo na kuwalipia malazi na mishahara ya wanafunzi.
chukua hatua kuhakikisha kodi unayolipa iwe ya PAYE au kwa kununua mafuata,sukari au mahitaji mengine inatumika ipasovyo
 
wakileta utoto zaidi ni kufukuza wote watakao leta fujo moja kwa moja. kwani wanaohitaji kusoma ni wengi. mbona isue kama hizo za kutimua moja kwa moja zimesha tokea nchi nyingi tu. naona hiyo itakuwa solution kwa wanaoandamana kwa ajili ya isue ambazo siyo critical kiivo. bila kuwa na hizo laptop hawawezi kusoma?

watu humu mnashabikia upumbav,unauhakika na unachokisema au unaandika 2 kuonyesha uwepo wako?nani kakwambia kagoma sababu ya laptop?wengine humu mtakuwa mliapply UDOM mkatoswa thats y mnachuki binafs kwa waliopata nafasi.ACHENI UJINGA,fuatilien chanzo ndo muongee co mnabwatuka tu humu
 
watimuliwe then wat? Wewe mark huu {uccm-ism} unakusumbua,cjui hata wafanya nini humu jamvini,au na wewe ni mmoja wa wapiga kampeni ya Kuokoa Three tweens??

then f6 wamefaulu wa kutosha tena PCM wameongoza, wao kama wanachezea nafasi wapo wanaozihitaji, tena wanausongo nazo. kama una ndugu yako na ulimshauri kujiingiza kijinga jinga katika hilo basi hesabu hasara kwani hao chuo tena basi na huko watakakokuwa waendeleze mgomo wao, na waupeleke hadi kwa wazazi wao siku wakiwapikia matembele wawagomeee mpaka ipikwe nyama
 
watu humu mnashabikia upumbav,unauhakika na unachokisema au unaandika 2 kuonyesha uwepo wako?nani kakwambia kagoma sababu ya laptop?wengine humu mtakuwa mliapply UDOM mkatoswa thats y mnachuki binafs kwa waliopata nafasi.ACHENI UJINGA,fuatilien chanzo ndo muongee co mnabwatuka tu humu

dogo kumbe we ni katika waliogoma? pole sana kwa ufupi mimi kaka yako nimemaliza University hata hiyo UDOM haijajengwa.sisi kaka zako tutakupa ushauri pale unapouhitaji lakini ukijiona umezyonola huhitaji ushauri wa kaka zako tunakuangalia tu na matokeo yake ndio kama hayo, sasa chuo sahau kama nawewe umetimuliwa. acheni uzuzu komaeni na kitabu. tatizo mnapenda dezo dezo sana
 
Back
Top Bottom