UDOM library imefungwa wafanyakazi wameenda sabato

MAKANGEMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
2,670
Reaction score
7,655
Jamani hali ya elimu ya juu ndiyo hiyo wafanyakazi wa vimemo wameota mapembe hawafungui library ya chuo kisa wao wameenda sabato.Hizi dharau sana aisee.

Kwa stahili hii tutafika kweli uchumi wa viwanda.

Library ni collage ya CIVE.

Update/mrejesho
1.Library imefunguliwa saa 3 na dakika zake huko
2.Kuna mzee kaja kuulizia library imefunguliwa saa ngapi means taarifa imefika na imefanyiwa kazi.....heko JF! Huko UDOM yangu kwa kuchukua hatua za haraka.

20241214_085222.jpg
 
Haoo UDOM kuanzia tutor, assistant lecturer, lecturer , dean mpaka wafagia ofisi wanalindana kila mtu ana kiburi na anajiona Mungu mtu,

Mpaka madereva wanajeuri, kupiga makofi mwanachuo au kumuacha kituoni makusudi ni kawaida, pia sometimes huwa wanadhalilisha wanafunzi hasa hasa wale vijana wanaoendaga rotation

Ila sasa cha ajabu kesi anapewa mwanafunzi.

Lecturer anaita wanafunzi wachawi 😀

Hapo bado hujakutana na balaa la walinzi😆

Balaa la IT muweka matokeo kwenye SR

Balaa la mwasibu

Balaa la mtihani 😆 lecturer anatoa mtihani wa marekani mtandaoni anaupachika nembo ya UDOM hiyo ndio CAT maswqli 150 muda ni masaa matatu mbaya zaidi swali moja linajaa robo ya karatasi 😆

UDOM kila mtumishi anakiburi mpaka kunguni za pale zina kiburi
 
Ila mwanangu nikupe heko sana. Asubuhi jmosi kama hii we upo zako na harakati zako za kustudy hardi. Hongera sana. Hakyamungu vijana wa nchi hii japo asilimia 25 tu wangekuwa fikrA za maendeleo ka wewe nchi hii ingefika mbali... Ila Sasa jmosi wao ndo siku ya kuchakata mbususu na bia
 
Jamani hali ya elimu ya juu ndiyo hiyo wafanyakazi wa vimemo wameota mapembe hawafungui library ya chuo kisa wao wameenda sabato.Hizi dharau sana aisee.

Kwa stahili hii tutafika kweli uchumi wa viwanda.

Library ni collage ya CIVE.
Waache waabudu,nilidhani wako kwenye urabu!
 
Jamani hali ya elimu ya juu ndiyo hiyo wafanyakazi wa vimemo wameota mapembe hawafungui library ya chuo kisa wao wameenda sabato.Hizi dharau sana aisee.

Kwa stahili hii tutafika kweli uchumi wa viwanda.

Library ni collage ya CIVE.
Hii nchi mtu akishakuwa na vyeti tu vya shule upumbavu huwa unaongezeka mara dufu.
Kuna mwanafalsafa mmoja alisema Elimu humfanya mtu mpumbavu kuwa mpumbavu zaidi na mwerevu kuwa mwerevu zaidi.
Bahati mbaya asilimia kubwa ya wasomi wetu hapa Tanzania sio werevu.
 
Haoo UDOM kuanzia tutor, assistant lecturer, lecturer , dean mpaka wafagia ofisi wanalindana kila mtu ana kiburi na anajiona Mungu mtu,

Mpaka madereva wanajeuri, kupiga makofi mwanachuo au kumuacha kituoni makusudi ni kawaida, pia sometimes huwa wanadhalilisha wanafunzi hasa hasa wale vijana wanaoendaga rotation

Ila sasa cha ajabu kesi anapewa mwanafunzi.

Lecturer anaita wanafunzi wachawi 😀

Hapo bado hujakutana na balaa la walinzi😆

Balaa la IT muweka matokeo kwenye SR

Balaa la mwasibu

Balaa la mtihani 😆 lecturer anatoa mtihani wa marekani mtandaoni anaupachika nembo ya UDOM hiyo ndio CAT maswqli 150 muda ni masaa matatu mbaya zaidi swali moja linajaa robo ya karatasi 😆

UDOM kila mtumishi anakiburi mpaka kunguni za pale zina kiburi
😄 😄

Ova
 
Umewasahau SUMA JKT na wardens....na watu wa cafeteria.

Ila UDOM 😂
 
Ila mwanangu nikupe heko sana. Asubuhi jmosi kama hii we upo zako na harakati zako za kustudy hardi. Hongera sana. Hakyamungu vijana wa nchi hii japo asilimia 25 tu wangekuwa fikrA za maendeleo ka wewe nchi hii ingefika mbali... Ila Sasa jmosi wao ndo siku ya kuchakata mbususu na bia
Umesemaje?
Library ya CIVE ina kasi kubwa sana ya mtandao. Bila shaka umenielewa mkuu.
 
Back
Top Bottom