Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Plus vumbi jekunduUmewasahau SUMA JKT na wardens....na watu wa cafeteria.
Ila UDOM 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haoo UDOM kuanzia tutor, assistant lecturer, lecturer , dean mpaka wafagia ofisi wanalindana kila mtu ana kiburi na anajiona Mungu mtu,
Mpaka madereva wanajeuri, kupiga makofi mwanachuo au kumuacha kituoni makusudi ni kawaida, pia sometimes huwa wanadhalilisha wanafunzi hasa hasa wale vijana wanaoendaga rotation
Ila sasa cha ajabu kesi anapewa mwanafunzi.
Lecturer anaita wanafunzi wachawi [emoji3]
Hapo bado hujakutana na balaa la walinzi[emoji38]
Balaa la IT muweka matokeo kwenye SR
Balaa la mwasibu
Balaa la mtihani [emoji38] lecturer anatoa mtihani wa marekani mtandaoni anaupachika nembo ya UDOM hiyo ndio CAT maswqli 150 muda ni masaa matatu mbaya zaidi swali moja linajaa robo ya karatasi [emoji38]
UDOM kila mtumishi anakiburi mpaka kunguni za pale zina kiburi
Niombe Radhi ya nini wakati library imefunguliwa saa 3 huko bila kufanyiwa usafi,badala ya saa mbili na nusu.Mbona haujawataka radhi?
Network inawashwa mpaka librarian ajisikie.Umesemaje?
Library ya CIVE ina kasi kubwa sana ya mtandao. Bila shaka umenielewa mkuu.
Mzee ulikuwa koleji gani....Haoo UDOM kuanzia tutor, assistant lecturer, lecturer , dean mpaka wafagia ofisi wanalindana kila mtu ana kiburi na anajiona Mungu mtu,
Mpaka madereva wanajeuri, kupiga makofi mwanachuo au kumuacha kituoni makusudi ni kawaida, pia sometimes huwa wanadhalilisha wanafunzi hasa hasa wale vijana wanaoendaga rotation
Ila sasa cha ajabu kesi anapewa mwanafunzi.
Lecturer anaita wanafunzi wachawi 😀
Hapo bado hujakutana na balaa la walinzi😆
Balaa la IT muweka matokeo kwenye SR
Balaa la mwasibu
Balaa la mtihani 😆 lecturer anatoa mtihani wa marekani mtandaoni anaupachika nembo ya UDOM hiyo ndio CAT maswqli 150 muda ni masaa matatu mbaya zaidi swali moja linajaa robo ya karatasi 😆
UDOM kila mtumishi anakiburi mpaka kunguni za pale zina kiburi