MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Khaaaa.....woote ni wasabato? Kazi ipo basiiiJamani hali ya elimu ya juu ndiyo hiyo wafanyakazi wa vimemo wameota mapembe hawafungui library ya chuo kisa wao wameenda sabato.Hizi dharau sana aisee.
Kwa stahili hii tutafika kweli uchumi wa viwanda.
Library ni collage ya CIVE.
Chuo kikuu hiko imagine...tatzo hawa Ma-DVC wanakula viyoyozi huko maofisini hawatembei site kujionea....ukienda utawala mkuu wanafichwa kama bangi ukiataka kuonana nao.Haoo UDOM kuanzia tutor, assistant lecturer, lecturer , dean mpaka wafagia ofisi wanalindana
Mbona haujawataka radhi?Uzi ufungwe wameshafungua...shenzi wanakula mshahara wa bure tu hawa librarians wa vimemo.
Mkuu tafuna totozi ukija huku mtaani kazi hamna acha kuteseka na ma kibrary asubuhi asubuhi unasumbua watu๐Uzi ufungwe wameshafungua...shenzi wanakula mshahara wa bure tu hawa librarians wa vimemo.
Waache waabudu,nilidhani wako kwenye urabu!Jamani hali ya elimu ya juu ndiyo hiyo wafanyakazi wa vimemo wameota mapembe hawafungui library ya chuo kisa wao wameenda sabato.Hizi dharau sana aisee.
Kwa stahili hii tutafika kweli uchumi wa viwanda.
Library ni collage ya CIVE.
Kwanza library ya nini wakati kuna mtandao๐ผMkuu tafuna totozi ukija huku mtaani kazi hamna acha kuteseka na ma kibrary asubuhi asubuhi unasumbua watu๐
Amtafute Mpwayungu wasaidiane kupata mtoto mwema wa kigogo aoe awe anapikiwa nswalu/ndalu.Mkuu tafuna totozi ukija huku mtaani kazi hamna acha kuteseka na ma kibrary asubuhi asubuhi unasumbua watu๐
Hii nchi mtu akishakuwa na vyeti tu vya shule upumbavu huwa unaongezeka mara dufu.Jamani hali ya elimu ya juu ndiyo hiyo wafanyakazi wa vimemo wameota mapembe hawafungui library ya chuo kisa wao wameenda sabato.Hizi dharau sana aisee.
Kwa stahili hii tutafika kweli uchumi wa viwanda.
Library ni collage ya CIVE.
๐ ๐Haoo UDOM kuanzia tutor, assistant lecturer, lecturer , dean mpaka wafagia ofisi wanalindana kila mtu ana kiburi na anajiona Mungu mtu,
Mpaka madereva wanajeuri, kupiga makofi mwanachuo au kumuacha kituoni makusudi ni kawaida, pia sometimes huwa wanadhalilisha wanafunzi hasa hasa wale vijana wanaoendaga rotation
Ila sasa cha ajabu kesi anapewa mwanafunzi.
Lecturer anaita wanafunzi wachawi ๐
Hapo bado hujakutana na balaa la walinzi๐
Balaa la IT muweka matokeo kwenye SR
Balaa la mwasibu
Balaa la mtihani ๐ lecturer anatoa mtihani wa marekani mtandaoni anaupachika nembo ya UDOM hiyo ndio CAT maswqli 150 muda ni masaa matatu mbaya zaidi swali moja linajaa robo ya karatasi ๐
UDOM kila mtumishi anakiburi mpaka kunguni za pale zina kiburi
Umewasahau SUMA JKT na wardens....na watu wa cafeteria.Haoo UDOM kuanzia tutor, assistant lecturer, lecturer , dean mpaka wafagia ofisi wanalindana kila mtu ana kiburi na anajiona Mungu mtu,
Mpaka madereva wanajeuri, kupiga makofi mwanachuo au kumuacha kituoni makusudi ni kawaida, pia sometimes huwa wanadhalilisha wanafunzi hasa hasa wale vijana wanaoendaga rotation
Ila sasa cha ajabu kesi anapewa mwanafunzi.
Lecturer anaita wanafunzi wachawi ๐
Hapo bado hujakutana na balaa la walinzi๐
Balaa la IT muweka matokeo kwenye SR
Balaa la mwasibu
Balaa la mtihani ๐ lecturer anatoa mtihani wa marekani mtandaoni anaupachika nembo ya UDOM hiyo ndio CAT maswqli 150 muda ni masaa matatu mbaya zaidi swali moja linajaa robo ya karatasi ๐
UDOM kila mtumishi anakiburi mpaka kunguni za pale zina kiburi
Umesemaje?Ila mwanangu nikupe heko sana. Asubuhi jmosi kama hii we upo zako na harakati zako za kustudy hardi. Hongera sana. Hakyamungu vijana wa nchi hii japo asilimia 25 tu wangekuwa fikrA za maendeleo ka wewe nchi hii ingefika mbali... Ila Sasa jmosi wao ndo siku ya kuchakata mbususu na bia