UDOM List of first year applicants-2013/2014

Wakuu kwa alie na majina aniangalizie hawa kwani simu yangu haifungui pdf
1.SEVERIN MAGAMBO
2.GILBERT KAJUNI
 
Wakuu kwa alie na majina aniangalizie hawa kwani simu yangu haifungui pdf
1.SEVERIN MAGAMBO
2.GILBERT KAJUNI
1.SEVERIN MAGAMBO hayupo
2.GILBERT KAJUNI Pia nae hayupo(Huyu kachaguliwa Jordan University)
 
afadhali sijachaguliwa udom..hapa nina uhakika wa kwenda ARDHI..udom bye bye..
 
Wakuu kwa alie na majina aniangalizie hawa kwani simu yangu haifungui pdf
1.SEVERIN MAGAMBO
2.GILBERT KAJUNI

Wote wawili hawapo, tangazo lao linaonyesha hii ni first batch, subiria 2nd batch au 3rd kama itakuwepo.
 
kaka ucsahau kunichekia jina langu VICENT ALOYCE BICHA na bro wangu TIMO ARON, fanya kwel kaka
 
kaka ucsahau kunichekia jina langu VICENT ALOYCE BICHA na bro wangu TIMO ARON, fanya kwel kaka
vicent aloyce bicha kachaguliwa Bachelor of Education in Guidance and Counseling
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…