UDOM List of first year applicants-2013/2014

UDOM List of first year applicants-2013/2014

Mkuu LORDVILLE vijana hawapatikani kabisa yaaani ila kuna dogo tulisoma nae school moja nitamkabidhi bila wasiwasi Mkuu
nakwaminia mkuu....hakikisha jahaz halizami!! hasa kwa hawa wanaojiandaa kuja udom mwaka wa kwanza!!!
 
-

mbaruck said:
Today-12:34

ktk kozi ambayo college ofearth science imejipanga ni hio coz ina wali wa kutosha hasa wahindi,mazingira ya kusomea yapo fresh coz chuo kina quarry ya kufanya observation ya mawe na madini,pia kuna geological survey of tanzania(GST) ampayo wa'funzi wanaenda kufanya practicals!filed pia haisumbui coz wanakwenda mbeya-chimara ambapo wanaaungana na wanafunzi wa udsm!
-
nashukuru kwa hizo taarifa ndg yangu
 
Duh,kumbe ndo maana jf member ilishoot kutoka member 30,000 hadi zaidi ya laki moja ndani ya miaka miwili,wanafunzi wameingia kwa tens of thousands.
 
baed capacity yake ni 4
00 slots, mbona waliochaguliwa hawafikii idadi hiyo?
 
Back
Top Bottom