nashukuru kwa hizo taarifa ndg yangu-
mbaruck said:
Today-12:34
ktk kozi ambayo college ofearth science imejipanga ni hio coz ina wali wa kutosha hasa wahindi,mazingira ya kusomea yapo fresh coz chuo kina quarry ya kufanya observation ya mawe na madini,pia kuna geological survey of tanzania(GST) ampayo wa'funzi wanaenda kufanya practicals!filed pia haisumbui coz wanakwenda mbeya-chimara ambapo wanaaungana na wanafunzi wa udsm!
-
Wote wawili hawapo, tangazo lao linaonyesha hii ni first batch, subiria 2nd batch au 3rd kama itakuwepo.
2 na 3 batch lini?
UDOM imetoa List of first year applicants-2013/2014
unaweza ingia link hii List of first year applicants 2013/2014-First batch - List of first year applicants-2013/2014 au download attachment
baed capacity yake ni 4
00 slots, mbona waliochaguliwa hawafikii idadi hiyo?
cut off point wengne zmewatema rafiki
zitawatemaje wakati walishusha hadi 2.5
ongea kwa facts
msaada mkuu na mm naomba unchekie edgar.m.edwardWote hao hawaonekani..
UDOM imetoa List of first year applicants-2013/2014
unaweza ingia link hii List of first year applicants 2013/2014-First batch - List of first year applicants-2013/2014 au download attachment