WAPIGWE vIZURI NYAMBAF HAWA SI WALIJIFANYA WAO NDIO CCM CHIPUKIZI SASA CCM INAWAONYESHA MAMBO YALIVYO
uwezo wa hawa watoto wa kufikiri ni mdogo sana .walidanganywa na ridhiwani wakaichangia ccm sasa wacha waonje joto ya jiwe ili tukiwaambia ccm ni zimwi lisilokujua watambue.mdogo wangu yupo hapo lakini nawaambia hao ffu watembeze kichapo akiumia atanipigia cm nitakuja kumtibia.ili siku nyingine apate akili.
Hizi habari mbona zinachanganya? nasikiliza TBC taifa sasa wanasema wanafunzi wanagomea hela ya mkopo kutoka bodi kuwa imechelewa hili lina ukweli kweli? Na polisi wamewatawanya kwa kutumia risasi za mpira, kweli bongo noma, hakuna mtu anayeruhusiwa kupaza sauti yake ili kilio chake kisikike! Najua sheria za kumfukuza mwanafunzi chuo ni mpaka agome kuingia darasani masaa 72 sasa hao ndugu zangu hayo masaa yamefika? mbona polisi wanatumia nguvu kupita kiasi? Au wanawaonyesha kilichotokea Arusha (kwa Mh Lema) hata Dodoma pia wanakiweza?
Si wapeane tu hizo dgree,mbona kuna wengine ni mawaziri wamekaa maofisini wanaletewa dgree zao mlangoni,na bado wanaendelea kuwa mawaziri wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya na wanaitwa Ma DR bila hizo field!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Bongo kila kitu kinawezekananimeongea na mrembo mmoja pale udom anadai kuwa wanafunzi wanadaiwa field report wakati chuo hakikupeleka majina yao board ili wapewe pesa ya field kwa hiyo wanafunzi wengi mwaka wa 3 hawakufanya field.
Leo mnawaita wahuni wakati wanamchangia Kikwete hamkuziita fedha za wahuni.Hatari sana. Kama chuo cha kata kitaanza migomo ni ishara ya kutisha maana uwezo wao wakuchambua mambo ni mdogo na wengi ni wahuni walioshindwa au waliokataa kusoma vyuo serious kama UDSM na SUA
Kwenye bold mkuu nakuunga mkono, mimi naendelea kuchonga virungu zaidi ili FFU wasishindwe kutimiza wajibu wao kwa kukosa vitendea kazi.Watapata akili hao sasa! Ikiwezekana risasi za moto zitumike