Udom mjirekebishe

MAMU35

Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
63
Reaction score
6
Jamani wanajamii utaratibu huu unaofanyika katika chuo cha UDOM siyo.
Katika kwenda kuchukua vyeti hapo chuoni kuna tatizo ambalo limekuwa ni kero ambapo unapokwenda kuchukua cheti unaambia unadaiwa fedha ambazo eti Bodi uli
pokuwa unasoma hawakuzilipa.
Sasa utata unakuja kiasi unachodaiwa mara wengine 1,800,000/= nakadhalika. Mbona wakati tunapomaliza chuo na kufanya mitihani hatuambiwi kama tunadaiwa halafu kipindi unapokwenda kuchukua cheti ndiyo uambiwe ulipie ndipo upewe cheti.
Kinachofanyika UDOM siyo sahihi
Tatizo lingine ni pale unapolipia kama umelipa asubuhi unaambia msubiri mpaka saa 8 mchana ndiyo vyeti vinatolewa huo ni Uongozi gani wakati tayari umeshalipa lakini mnaambiwa msubiri mpaka eti saa 8 ndiyo vyeti wanavitoa

Kwa haya machache UDOM mjirekebishe
 
kama kwel wajilekebishe mapema.wanakipa sifa mbaya chuo.
 
kama kwel wajilekebishe mapema.wanakipa sifa mbaya chuo.

Tatizo ni pale wanachuo wanapokwenda chuoni kuchukua cheti na kuambiwa wanadaiwa hizo fedha,na kutokana na uchumi wa kila mtu ulivyo wengine inabidi warudi walipotoka na kupoteza nauli zao bure
 
Tatizo ni pale wanachuo wanapokwenda chuoni kuchukua cheti na kuambiwa wanadaiwa hizo fedha,na kutokana na uchumi wa kila mtu ulivyo wengine inabidi warudi walipotoka na kupoteza nauli zao bure

Mmejaribu kuwasiliana na bodi au wawakilishi wao hapo chuoni?
 
inakera kweli!
 
Hapo ndo utajua umuhimu wa clearance kwa kweli.
Tatizo ni pale wanachuo wanapokwenda chuoni kuchukua cheti na kuambiwa wanadaiwa hizo fedha,na kutokana na uchumi wa kila mtu ulivyo wengine inabidi warudi walipotoka na kupoteza nauli zao bure
 
Ofisi gani specifically???!!!!
Fedha, warden, mitihani au udahili???

Anika wazi tu jengo mlango namba hata jina la huyo muhusika!!!!

Lakini ulifanya clearance???!!!
Copy ulikuwa nayo siku hiyo???
 
Ofisi gani specifically???!!!!
Fedha, warden, mitihani au udahili???

Anika wazi tu jengo mlango namba hata jina la huyo muhusika!!!!

Lakini ulifanya clearance???!!!
Copy ulikuwa nayo siku hiyo???

wewe utakuwa mgeni na hawa maprofesa wa lugha!!
bodi wanalipa nini kwa warden?
udom clearance haina maana yeyote maana ukirudi kuchukua cheti hawaihitaji.
 
wewe utakuwa mgeni na hawa maprofesa wa lugha!!
bodi wanalipa nini kwa warden?
udom clearance haina maana yeyote maana ukirudi kuchukua cheti hawaihitaji.

Kila swali hapo lina maana yake ila kwa kuwa unajua saaana haya endelea kulalamika
 
Ni nani baba yake na mama yake wakigombana anakuja hapa ili tujadili?jifunzeni sio kila tatizo we unatoa rawama. Watu kama nyie hata kulea familia inawashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…