Jamani wanajamii utaratibu huu unaofanyika katika chuo cha UDOM siyo.
Katika kwenda kuchukua vyeti hapo chuoni kuna tatizo ambalo limekuwa ni kero ambapo unapokwenda kuchukua cheti unaambia unadaiwa fedha ambazo eti Bodi ulipokuwa unasoma hawakuzilipa.
Sasa utata unakuja kiasi unachodaiwa mara wengine 1,800,000/= nakadhalika. Mbona wakati tunapomaliza chuo na kufanya mitihani hatuambiwi kama tunadaiwa halafu kipindi unapokwenda kuchukua cheti ndiyo uambiwe ulipie ndipo upewe cheti.
Kinachofanyika UDOM siyo sahihi
Tatizo lingine ni pale unapolipia kama umelipa asubuhi unaambia msubiri mpaka saa 8 mchana ndiyo vyeti vinatolewa huo ni Uongozi gani wakati tayari umeshalipa lakini mnaambiwa msubiri mpaka eti saa 8 ndiyo vyeti wanavitoa
Kwa haya machache UDOM mjirekebishe