nassib54
Member
- Sep 15, 2014
- 21
- 14
hii n kwa wale wanafunzi wote ambao majina yao yakusaini boom hayakutoka..inapita wiki tatu uongozi wa chuo na wanafunzi umelifumbia macho tatizo letu kila tukifuatilia ni majibu ya ubabaishaji...tumechoka kuzungushwa na mnajua maisha yalivokua magum UDOSO na uongoz wa chuo tunaomba muwajibike katika hili tunateseka wenzenu ni muda mref sasa mlituahidi karatasi za kusaini mpaka leo kmya