UDOM na Chuo cha Mipango hofu tupu: mishahara ya wahadhiri hadi leo hakuna!

UDOM na Chuo cha Mipango hofu tupu: mishahara ya wahadhiri hadi leo hakuna!

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
Pamoja na serikali kujitamba kwamba ni chuo kikubwa ktk ukanda afrika mashariki na kati, hadi leo wahadhiri wa chuo kikuu cha dodoma hawajalipwa mishahara yao ya mwezi disemba. Na hakuna dalili kwamba watalipwa hvi karibuni kwani serikali imewaambia haina hela ya kufanya hivyo kwa sasa.

Hebu tujiulize wakuu, inaingia akilini kweli kwa serikali kushndwa kuwalipa watumishi wa taasisi yake ya elimu ya juu wakati walitoa ahadi kuwa mpaka ifikapo tar 25 kila mwezi watumishi wawe wamelipwa? Ni heri wangekuwa wazi kwa wahadhiri hawa maana isije ikatokea yale ya walimu wa sekondari ambao waliamua hasira zao kumalizia ktk kufundisha kiushikaji na matokeo yake si wote tuliyaona ktk mitihani uya form 4 mwaka jana.

Kituko ni kwamba serikali imewaambia walimu wa chuo cha mipango dodoma wavumilie kwani serikali haina hela hivyo huenda mshahara wao wa mwezi huu wa disemba ukatoka kuanzia tar 7 januari mwakani.

Kanchi kanakwisha haka.
 
walishamalizana na jamaa wa primary, wakaja sekondari, wakaja vyuo vya veta sasa wameamua kutikisa kiberiti vyuo vikuu. wakishafanikiwa huko basi ndo itakuwa kama 'the beginning of the end' of the collapse of country's education system
 
Serikali ya CCM imeishiwa sera nani asiyejua kwani.?.
Full kufulia..
 
MUCCOBS pia bado. Malekchara wanatoa macho tu..
 
Pamoja na serikali kujitamba kwamba ni chuo kikubwa ktk ukanda afrika mashariki na kati, hadi leo wahadhiri wa chuo kikuu cha dodoma hawajalipwa mishahara yao ya mwezi disemba. Na hakuna dalili kwamba watalipwa hvi karibuni kwani serikali imewaambia haina hela ya kufanya hivyo kwa sasa.

Hebu tujiulize wakuu, inaingia akilini kweli kwa serikali kushndwa kuwalipa watumishi wa taasisi yake ya elimu ya juu wakati walitoa ahadi kuwa mpaka ifikapo tar 25 kila mwezi watumishi wawe wamelipwa? Ni heri wangekuwa wazi kwa wahadhiri hawa maana isije ikatokea yale ya walimu wa sekondari ambao waliamua hasira zao kumalizia ktk kufundisha kiushikaji na matokeo yake si wote tuliyaona ktk mitihani uya form 4 mwaka jana.

Kituko ni kwamba serikali imewaambia walimu wa chuo cha mipango dodoma wavumilie kwani serikali haina hela hivyo huenda mshahara wao wa mwezi huu wa disemba ukatoka kuanzia tar 7 januari mwakani.

Kanchi kanakwisha haka.

Acheni majungu kani kasema UDOM wanalipwa kuanzia Januari? Hawa wasomi wa UDOM wanashangaza kabisa. Wenyewe wamesaini barua zinazosema kuwa mishahara inalipwa siku ya mwisho wa kila mwezi. Wasubiri kesho kama hawatalipwa walalamike na sio kuleta majungu hapa. Asiyeelewa aende akasome tena mkataba wake wa ajira. Mnataka walipwe siku wasizozifanyia kazi?

Je mnajua marupurupu wanayopata wafanyakazi (T/A) wa UDOM ?

1. Ma T/A wa UDOM wanapewa sehemu za kuishi, tena bure bureshi, je UDSM, Mzumbe, SUA wanapewa?

2. Wanapewa usafiri kila siku kwenda na kurudi kazini, je nyie wa UDSM, Mzumbe, SUA na kwingineko mnapewa?

3. Wanalipiwa mikopo waliyokopa kusoma Masters Degree, je nyie wa UDSM, Mzumbe, SUA na kwingineko mnalipiwa

4. Wamedhaminiwa kupata mikopo Benki wengine wamenunua magari yanawapindua kila uchao

Maprofesa mliotangulia, enzi zenu haya yalikuwepo? Prof. Baregu, Shivji na wengine ebu tuambieni

.
 
:A S 465::A S 465:kwanini wanazungumziwa wafanyakazi tu mbona wanafunzi hajapata bum wiki ya tatu sasa tangu walipotakiwa kupewa?
naomba wafikiriwe wanafunzi kwanza manake gpa hazisomi kabisa na zitazidi kua mbaya kwa hali hii:A S 465::A S 465:.
 
Back
Top Bottom