ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,652
Pamoja na serikali kujitamba kwamba ni chuo kikubwa ktk ukanda afrika mashariki na kati, hadi leo wahadhiri wa chuo kikuu cha dodoma hawajalipwa mishahara yao ya mwezi disemba. Na hakuna dalili kwamba watalipwa hvi karibuni kwani serikali imewaambia haina hela ya kufanya hivyo kwa sasa.
Hebu tujiulize wakuu, inaingia akilini kweli kwa serikali kushndwa kuwalipa watumishi wa taasisi yake ya elimu ya juu wakati walitoa ahadi kuwa mpaka ifikapo tar 25 kila mwezi watumishi wawe wamelipwa? Ni heri wangekuwa wazi kwa wahadhiri hawa maana isije ikatokea yale ya walimu wa sekondari ambao waliamua hasira zao kumalizia ktk kufundisha kiushikaji na matokeo yake si wote tuliyaona ktk mitihani uya form 4 mwaka jana.
Kituko ni kwamba serikali imewaambia walimu wa chuo cha mipango dodoma wavumilie kwani serikali haina hela hivyo huenda mshahara wao wa mwezi huu wa disemba ukatoka kuanzia tar 7 januari mwakani.
Kanchi kanakwisha haka.