Baadhi ya wanafunzi wa UDOM tunapata shida kuyaona matokeo yetu kwenye mfumo wa Sr2 kwa sababu ya madeni ambayo hatuyaelewi.
Baada ya matokeo kutoka Hali ilikuwa shwari watu tuliona matokeo yetu ila baada ya muda kidogo mfumo ukashake na hapo ndo shida ilipoanzia.
Chuo kinatuwekea madeni mfano mm wameniwekea deni la ada 525k ambayo ilitakiwa ilipwenna bodi ya mikopo HESLB
Sasa tunachojiuliza ni je mtu utadàiwaje Hela baada ya kufanya mtihani wa UE wakati ulishasain ada?
Na je mtu anaruhusiwa kuingia UE kama hajamaliza madeni?
Je mtu ataweza kufanya tusajili kama hajakamilisha madeni?
Ombi langu kwa HESLB na UDOM waweke mambo yao sawa ili tuweze kupata matokeo yetu kwa sababu hatuna pesa kwa wakati huu