KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
uyu atakua anaish off compus,
Atakuwa anaishi UJASINI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uyu atakua anaish off compus,
HAPANA NI University yenye vyuo(colleges) ndani yake, so ni zaidi ya chuo.Kawaeleweshe na wenzio ambao ni vilaza
Acheni kulalama mlivyokuwa mnatumia maji kwa fujo mnaacha maji yanamwagika usiku - mchana kutwa mlifikiri mnamkomoa nani. Na hujuma mlokuwa mkiifanya ninyi wanafunzi wa Education na aliyekuwa mkuu wa kaya kabla ya kabi mlitegema nini? Tumiaji maji kwa uangalaifu, tunza majengo na mazingira ya chuo, tuwe wazalendo wa kweliChuo kina matatizo makubwa sana ya maji yaaan imekuwa ni km bidhaa hadimu

Chuo kina matatizo makubwa sana ya maji yaaan imekuwa ni km bidhaa hadimu
huna hoja mkuu....kajipange tenaHAPANA NI University yenye vyuo(colleges) ndani yake, so ni zaidi ya chuo.Kawaeleweshe na wenzio ambao ni vilaza
imekuvua wewe....lete hoja hapa sio mihemukoKweli wewe ni Mbwiga, sioni tofauti kati yako na mtoa mada! Sina nasaba zozote na UDOM, ila kauli yako imekuvua nguo wewe mwenyewe!
hamkosekanagi kama nyie, sema sina oja kivip, kipi ambacho hakina ukwel kwenye maandishi yangu?huna hoja mkuu....kajipange tena