Udom na majanga yake

HAPANA NI University yenye vyuo(colleges) ndani yake, so ni zaidi ya chuo.Kawaeleweshe na wenzio ambao ni vilaza

Huyu jamaa Mbwiga88 nilikuwa najua ni GT kumbe hajui hata kutofautisha kati ya CHUO NA UNIVERSITY?
 
Chuo kina matatizo makubwa sana ya maji yaaan imekuwa ni km bidhaa hadimu
Acheni kulalama mlivyokuwa mnatumia maji kwa fujo mnaacha maji yanamwagika usiku - mchana kutwa mlifikiri mnamkomoa nani. Na hujuma mlokuwa mkiifanya ninyi wanafunzi wa Education na aliyekuwa mkuu wa kaya kabla ya kabi mlitegema nini? Tumiaji maji kwa uangalaifu, tunza majengo na mazingira ya chuo, tuwe wazalendo wa kweli


 
hali ya maji katika chuo kikuu cha dodoma mbaya kupita kiasi kwani enzi hizo tulikuwa maji yakikosa tulikuwa tunakwenda kutafuta kwa wajasilia mali
 
Kweli wewe ni Mbwiga, sioni tofauti kati yako na mtoa mada! Sina nasaba zozote na UDOM, ila kauli yako imekuvua nguo wewe mwenyewe!
imekuvua wewe....lete hoja hapa sio mihemuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…