UDOM ni msaada wa Bill Gates

Mwadui

Senior Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
102
Reaction score
2
kugoma kwa wahadiri UDOM, kwasababu ya maslahi wanatudhihirishia kuwa chuo hicho kilijengwa kwa msaada wa matajiri walioko nje ya nchi kama kina bilgates, haiwezekani serikali ijenge chuo kikubwa na kizuri kiasi hiki halafu kishindwe kuwalipa staff wake hela za kujikimu tena mbaya zaid wengine hawajalipiwa tangu waanze, sitaki kuamini kama ccm ndio imejenga UDOM maana CCM mpaka Neti wanapewa msaada na mrekani, nawasilisha
 
Medy, UDOM imejengwa kwa hela za wafanyakazi. Mifuko iliyoshiriki kujenga UDOM ni PPF na NSSF. Hela zilizoko kwenye hiyo mifuko ni hela za wafanyakazi wa Tanzania. Tatizo ni kuwa serekali ina uwezo mdogo sana wa kuplan mambo. Na hili litawatokea puani ngoja tu
 
Nani kasema UDOM ni mali ya CCM?

Miaka yote huna habari kwamba hiki huitwa CCM KARUBANDIKA kwa kila kitu?? Chuo alikijenga Belinda na Bill Gates kwa wananchi wooote wa Tanzania na sote tunalifahamu sana hilo.

Ndiyo yale yale ya Advocate Mkono na shule ya msaada kwa wananchi wa Mara lakini mpaka leo huyo mpambe kajitia nuksi kuliko hata mtoa mali mwenyewe
 
Wazee wenye data wamwage hapa!

What are the funding sources to esblish UDOM? Serikali % ngapi? Wafadili wengine % ngapi? NSSF & PPF % ngapi?
 
Udom imejengwa na wifuko ya penshen. NSSF wamejenga college of humanities and social sciences, PPF wamejenga imformatics, pspf wamejenga education na LAPF wanajenga health sciences. Bill ametoa msaada wa komputa na wataalamu.
 
Asante baba tina sasa vipi kuhusu malipo mfuku gani unahusika?
 
Udom imejengwa na wifuko ya penshen. NSSF wamejenga college of humanities and social sciences, PPF wamejenga imformatics, pspf wamejenga education na LAPF wanajenga health sciences. Bill ametoa msaada wa komputa na wataalamu.

safi kbs Baba Tina. Inasikitisha taarifa zote za nani anafund ujenzi zipo hapa jamvini sema watu hatutaki kusearch
 
Ni aibu kwa taifa kama tunashindwa kuendesha vyuo pamoja na majengo mazuri. Tuna kopa capex na sio recurrent expenditure!
 
Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Katika hili la malipo serikali haihusiki kabisa bali ni majambazi matatu tu labda yakishirikiana na mafisadi wachache kukwapua pesa ya wahadhiri. Pesa yote huwa inakuja chuo ushahidi tunao kabvisa katika soft coppy, tupo tayari kuutoa jamvini, wezi wetu tumewafahamu na mianya yote wanayoitumia tumeifahamu, kimsingi hawa watu ni zaidi ya mafisadi
 
Kwa kua udom ni chuo cha umma malipo ya mishahara yanalipwa na serikali. Hata hivyo serikali ina deni na itailipa mifuko hiyo ya penseni kidogokidogo.
 
Wazee wenye data wamwage hapa!

What are the funding sources to esblish UDOM? Serikali % ngapi? Wafadili wengine % ngapi? NSSF & PPF % ngapi?

Muwe munaangaliaga TV. UDOM imejengwa kwa pesa za mifuko ya hifadhi za jamii. Kila chuo kina mfadhili wake. Mifuko hiyo ni pamoja na NSSF, PPF, PSPF, na LAPF. Hata ukiangalia kalenda za mashirika haya zinajinasibu sana na ujenzi wa UDOM.

Hizi ni pesa zako wewe kama unafanya kazi. Sirkali imekopa na inalipa kidogo kidogo. Sisi wenye akili zetu tunaona huu ni mpango nzuri na vyuo vingine viendelezwe kwa mtindo huu wa UDOM. Mifuko hii inakusanya pasa inajilundikia tu. Mwisho wa siku wanaiendesha wanajipangia mishahara mikubwa na marupurupu kibao, wastaafu wanalipwa kiduchu. Bora hii pesa itumike huku isaidie maendeleo ya Taifa.
 
Nazani nilimuelewa vizuri mmoja wa wahadhiri waliogoma. Kutokana na maelezo yake ni kwamba, waliahidiwa kulipwa mshahara mpya from November 2010. Hata hivyo, hadi wanaingia kwenye mgomo walikuwa hawajalipwa huo mshahara!!! Baada ya wao kufuatilia, wakagundua kwamba serikali ilishatoa mshahara mpya kwa ajili yao lakini udom mgt ikachakachua hiyo mishahara!!! Hivyo basi, kama nilimwelewa sawasawa( am sure 100% nilimuelewa) then utaona tatizo halikuwa kwa upande wa mwajiri (serikali) bali ni mt ya chuo!!! Likewise, ktk kujitetea, Prof Mkulya alidai kwamba wao hawakuchakachua mshahara wa yeyote bali walichofanya ni adjustment!!!! Kwamba, eti mishahara ilipofika, ungeweza kukuta mtu mwenye masters na udhoefu mdogo analipwa nyingi kuliko senior lecturer!!! Swali pekee ambalo nilijiuliza ni kwamba, payroll inatoka serikalini au inaandaliwa UDOM!!!
 
Nadhani ungerahisisha kusema UDOM imejengwa kwa msaada wa Vatican watanzania wepesi wa kusahau msaada mkubwa wa uanzishwaji wa chuo umetolewa na nchi moja ya falme za kiarabu. Na kwa upande wa majengo ya education NSSF na PSPF. Lakini yote kheri lakini msisahau "baniani mbaya kiatu chake dawa"
 
Nazani nilimuelewa vizuri mmoja wa wahadhiri waliogoma. Kutokana na maelezo yake ni kwamba, waliahidiwa kulipwa mshahara mpya from November 2010. Hata hivyo, hadi wanaingia kwenye mgomo walikuwa hawajalipwa huo mshahara!!! Baada ya wao kufuatilia, wakagundua kwamba serikali ilishatoa mshahara mpya kwa ajili yao lakini udom mgt ikachakachua hiyo mishahara!!! Hivyo basi, kama nilimwelewa sawasawa( am sure 100% nilimuelewa) then utaona tatizo halikuwa kwa upande wa mwajiri (serikali) bali ni mt ya chuo!!! Likewise, ktk kujitetea, Prof Mkulya alidai kwamba wao hawakuchakachua mshahara wa yeyote bali walichofanya ni adjustment!!!! Kwamba, eti mishahara ilipofika, ungeweza kukuta mtu mwenye masters na udhoefu mdogo analipwa nyingi kuliko senior lecturer!!! Swali pekee ambalo nilijiuliza ni kwamba, payroll inatoka serikalini au inaandaliwa UDOM!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…