Mwadui
Senior Member
- Dec 17, 2010
- 102
- 2
kugoma kwa wahadiri UDOM, kwasababu ya maslahi wanatudhihirishia kuwa chuo hicho kilijengwa kwa msaada wa matajiri walioko nje ya nchi kama kina bilgates, haiwezekani serikali ijenge chuo kikubwa na kizuri kiasi hiki halafu kishindwe kuwalipa staff wake hela za kujikimu tena mbaya zaid wengine hawajalipiwa tangu waanze, sitaki kuamini kama ccm ndio imejenga UDOM maana CCM mpaka Neti wanapewa msaada na mrekani, nawasilisha