Marumia
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 644
- 213
Habari zenu, Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa anapiga simu kutoka UDOM anasema oral interview ni Jumanne saa mbil asubuhi. Mi nilifanya ile aptitude ya Human Resources Officer. Kuna mtu yeyote mwenye taarifa kama zangu humu jamvini? Asanteni