UDOM oral interview

UDOM oral interview

Marumia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
644
Reaction score
213
Habari zenu, Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa anapiga simu kutoka UDOM anasema oral interview ni Jumanne saa mbil asubuhi. Mi nilifanya ile aptitude ya Human Resources Officer. Kuna mtu yeyote mwenye taarifa kama zangu humu jamvini? Asanteni
 
Nami nimepigiwa nimeambiwa jumatatau saa mbili asubuhi. But another position vs yours. Naenda juma pili. 0755002794
 
Back
Top Bottom