WanaUDOMASA msishangae Prof Kikula kutoa propaganda kwenye vyombo vya habari. Hiyo ndiyo fani yake nyingine kwani yeye ni mfanyakazi wa TISS. Mdogo wake naye yuko TISS. Anaitwa Magid Kikula na ndye aliyeshiriki kwa karibu sana kuchakachua matokeo ya uchaguzi uliopita.
Ndg yangu mdogo wake Kikula kuwa mchakachuaji,siyo kigezo chakubaini uovu wake.siyo lazima wote wawe na tabia zinazo fanana.Usiwe mfinyu wa mawazo.Reason correctly become critical thinker.