Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo tupo kumuaga mwenzetu,kwa mara ya mwisho,tukiwa na mioyo na sura za majonzi, MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA ,AMEN. bwana alitoa na ametwaa pia, R.I.P.
MKUU mnaagia wapi chimwaga ama?
Habar wana jf wenzangu,mida ya saa kumi jion kuelekea sa kumi na moja, mwanafunz mmoja mwaka wa tatu aliaga dunia ,baada ya kuanguka ghafla akiwa chumban mwake, habar zilizotolewa na baadh ya wana room znasema alikuwa hajiskii vizur hvo akaamua kwenda kujipumzsha chumban kwake,alipofka ndo akawa ameanguka ghafla ,wakampeleka hosptal ya chuo,kufka akawa ameaga dunia,tukio limetokea colege ya education . MUNGU AMLAZE MAHAL PEMA, AMEN.