UDOM UDOM UDOM boom lini? 2mechoka

kumbe nanyi vinara wa MIGOMO tz mnafanyiwa uhuni kama huo? ila hongereni kw kuwa na busara wa kusubiri.msijali boom liko
 
udom c vinara wa migomo. ila wakizidi mgomo utanukia 2
 
chuo chenu cha kata ndo mana mnacheleweshewa boom,karibuni UDSM tunasain leo mpunga unatoka kesho yake
 
ucjar kiongoz @ vice udom me npo block J EARTH SCIENCE bt kwa data nilizonazo nikwamba by 2moro k2 ktakuwa out
 
unauhakika mkuu me mwnyewe nko block E NATURAL SCIENCE
 
ucjar kiongoz @ vice udom me npo block J EARTH SCIENCE bt kwa data nilizonazo nikwamba by 2moro k2 ktakuwa out

2po pamoja kijana wangu wamesikia tyr maombi ye2 hawa jamaa! amen ! krb blok Q
 
dats true ma'men, ki2 kimecheka tangu friday

kaka nimetoka kuchek sasa hivi kitu hakija ingia mbona.mi first year niko humanities ila jamaa wa education wanasema tayari wao,au wanatoa kwa awamu kila college..?
 
me nk COed,nyie humanity subirin kdg,muwe n sbira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…