Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe nanyi vinara wa MIGOMO tz mnafanyiwa uhuni kama huo? ila hongereni kw kuwa na busara wa kusubiri.msijali boom liko
ucjar kiongoz @ vice udom me npo block J EARTH SCIENCE bt kwa data nilizonazo nikwamba by 2moro k2 ktakuwa out
udom c vinara wa migomo. ila wakizidi mgomo utanukia 2
ucjar kiongoz @ vice udom me npo block J EARTH SCIENCE bt kwa data nilizonazo nikwamba by 2moro k2 ktakuwa out
1st year account zimeshacheka
dats true ma'men, ki2 kimecheka tangu friday
kaka nimetoka kuchek sasa hivi kitu hakija ingia mbona.mi first year niko humanities ila jamaa wa education wanasema tayari wao,au wanatoa kwa awamu kila college..?
ucjar kiongoz @ vice udom me npo block J EARTH SCIENCE bt kwa data nilizonazo nikwamba by 2moro k2 ktakuwa out