Hivi wana janvi kwanini chuo kikuu cha Dodoma huwa wahadhiri wake hawatoi maoni kuhusu mambo mbali mbali yanayotokea kwenye jamii?. Kuna maprofesa wengi, madokta wengi na hata wenye masters wengi pia. Je matatizo haya hawa yaoni? Au wanamuogopa Mlacha atawatimua kazi? Au ndio chuo cha kata? Kumbukeni Nyerere alisha sema "chuo kikuu kinacho zalisha watu wasio hoji hakifai kuitwa chuo kikuu bora kikafungwa"!!