Udom udom udom

Udom udom udom

wewe kichaa wewe acha kubeza vyuo vya watu! Enhe nyie mliosoma kwenye vyuo unavyojua ni vvya maana mmetufanyia nn ktk taifa hili zaidi ya ufisadi?huu uzandiki,upuuzi,uchafu,makapi na aina zoote za usaha peleka kwa demu wako siyo hapa!vijana acheni madharau ya kiji..nga

!
!
udom secondary school
 
Chuo kikuu hakifundishi kuandika barua. Mm nimesoma udom niko vizuri tu and am proud of it.
Kama ulipita huko chini kimagumashi usitegemee udom ikafundishe namna ya kuandika barua. Wao watakuelekeza namna na ya kupambana na kuyakabili mazingira. Kuamua na kufikiri kitunduizi.
Ukilaza wa mtu hautokani na chuo alichosoma wapo waliosoma udsm, Makerere lakini kichwani hakuna kitu. Kuna waliosoma IFM wako vizuri mno lakini wengine hawajui hata tanzania ina mikoa mingapi.
Udom ina matatizo kama ilivyo kwa vyuo vingine vya serikali lakini si kama wahuni wachache ambao wanajiona wako vizuri kichwani ili hali maisha yao yako sifuri. Umesoma chuo bora sawa, je elimu yake imekusaidiaje au ndio walewale wa kutembea na bahasha posta na kuilaumu serikali?

!
!
ni kweli kabisa mkuu, ila kuna mazingira yanatia utata sana...mtu anashindwa hata kuandika sentesi moja iliyonyooka alikuwa anafanyaje mitihani!kafanya vipi research? vipi presentation alikuwa anafanya kweli?........ninamaanisha hata kama vyuo vingine kuna vilaza ila vilaza wa udom ni balaa zaidi. They are good for nothing
 
Unajifhalilisha we kanjanja maana huyo kaka yako kasoma form 1-6 hajui kuandika barua?? Ina maana alitegemea barua akajifunzie kuandika chuoni?? Hilo Ni janga

Kama walishindwa kumpa kaka yao elimu nzuri tangu Std one wanategemea akajifunze kuandika barua chuo kikuu hawana budi wapokee matokeo yake kwa moyo mkunjufu
 
Nashangaa watu badala ya kuwajadili wahadhiri kama mada ilivyo, wanajadili wahitimu! Jamani graduate anaweza akafanya mambo ya hovyo au mazuri, hiyo inategem,eana na yeye pia, sio lazima iwe imesababishwa na chuo chake. Mbona Mwigulu hakuna kitu?

!
!
kamalizaje mtu kama huyu kama kuna wahadhiri makini?mwigulu anaweza kuwa kilaza sikatai ila angalau hata sentesi moja iliyonyooka anaweza kuandika japo inaweza ikawa pumba
 
Hivi wana janvi kwanini chuo kikuu cha Dodoma huwa wahadhiri wake hawatoi maoni kuhusu mambo mbali mbali yanayotokea kwenye jamii?. Kuna maprofesa wengi, madokta wengi na hata wenye masters wengi pia. Je matatizo haya hawa yaoni? Au wanamuogopa Mlacha atawatimua kazi? Au ndio chuo cha kata? Kumbukeni Nyerere alisha sema "chuo kikuu kinacho zalisha watu wasio hoji hakifai kuitwa chuo kikuu bora kikafungwa"!!

Umeona tu Udom ama chuki binafsi????
 
Wewe uliye fanya research na credibility zako fanya research ya kukua kwa udini udom au kwa kuwa kiko karibu na pwani? Why not Udsm neither Sua? Fanya credibility zako sasa! Tambua kwamba wasomi wetu hujifanya kila kitu wanajua wao kwa kuwa wana vyeti vingi. Ukiuliza mbona umeme unapaa kila siku utaletewa maneno mengi ya kisayansi mara running costs, mara maintainance costs, mara water supply in power dams na mengine mengi ili mradi utapeli tu. Ndio maana Idi amini dada hakujali usomi wa mtu yeye alijali accountability.

Huo udini hapo UDOM pia nazo ni hisia tu. Hakuna mwenye ushahidi kuthibitisha hilo.
 
Mi nawafahamu jamaa kibao waliohitimu UDSM,yaani aibu tupu,nitakuelewa kama umesoma ulaya ama Marekani lakini kama unaringia degree ya hicho chuo cha manzese basi huna jipya

Acha umburula wako UDSM hakuna asiye kitambua, na kwamba hikipo Manzese kama unavyo dhani...
Nidhahili kuwa haiwezekani watu wote wasome UDSM ndo maana kunakuwa na vyuo mbalimbali.
 
Huo udini hapo UDOM pia nazo ni hisia tu. Hakuna mwenye ushahidi kuthibitisha hilo.

upo sahihi sana Jallen, I remain anonymous ila counts zinaonesha hiyo dini inayosemekana inapendelewa wapo wachache sana, kwenye idara unakuta mmoja - watatu out of more than ten members.

naomba pia nijibu comment ya mwenye mada that focused on my arquments, Njala tengeneza busara katika hoja, mnaweza fikisha taifa pabaya kwa kutaka kuaminisha kile unachoamini or unachotaka kiwe bila facts, ningependa vijana mjadili mada kwa weledi..
 
Wewe uliye fanya research na credibility zako fanya research ya kukua kwa udini udom au kwa kuwa kiko karibu na pwani? Why not Udsm neither Sua? Fanya credibility zako sasa! Tambua kwamba wasomi wetu hujifanya kila kitu wanajua wao kwa kuwa wana vyeti vingi. Ukiuliza mbona umeme unapaa kila siku utaletewa maneno mengi ya kisayansi mara running costs, mara maintainance costs, mara water supply in power dams na mengine mengi ili mradi utapeli tu. Ndio maana Idi amini dada hakujali usomi wa mtu yeye alijali accountability.

Njali tengeneza busara katika hoja, mnaweza fikisha taifa pabaya kwa kutaka kuaminisha kile unachoamini or unachotaka kiwe bila facts, ningependa vijana mjadili mada kwa weledi. comment yako ina mapungufu mengi sana, UDOM ipo karibu na pwani ?
Niwape busara, jifunzeni kutumia social networks vizuri, umejiunga JF tarehe 9th january 2014 mpaka sasa una posts 145 wastani wa 9.. posts per day. account yangu ipo tokea 2011 nna post 38 in 3years, huwa nachangia vitu muhimu tu, hasa kuondoa upotoshaji ili wanaofatilia hizi social networks wasiadhiriwe kimawazo na mtazamo in various issues.
 
Huo udini hapo UDOM pia nazo ni hisia tu. Hakuna mwenye ushahidi kuthibitisha hilo.

Kwani utakubari, ndio maana nikakuambieni fuatilia utakuja thibitisha kinacho semwa. Kama utapata muda fanya min research time will tell.
 
kuna mtu alishawahi kusema kwamba watu wanaiponda udom maana product zake zinabamba vbya.
Huwezi kuwa na akili ukasema eti mtu hajui kuandka barua kwahyo basi chuo alichomalizia ni kibovu.Na isitoshe kitu km hicho ili tukiamini ungeweka na ushahidi wa hyo barua.
Mimi mwenyewe ni product ya Udom lkn kazini nilipo nakubalika sana.Ndugu uzuri wa graduate sio chuo alichosoma bali ni yeye alikuwa anadeal vp na course yake.
Ndo maana siku hzi waajiri wengi wanajali sna uwezo na sio mambo ya Udsm wala SUA.
Mfano mhitimu wa kozi ya ualimu wa Udom na yule wa Udsm wa udom yuko fiti zaid km alikuwa makini.
Udsm tulikuwa tunafanya nao field na vitu vingi walikuwa shallow.Portifolio wanashangaa,lesson plan wanapewa already drafted lkn kuandka vitu km specific objectives issue.
Na udsm kinachoibeba ni product zake za nyuma ila baada ya miaka kama 10 toka leo naona anguko kubwa la vyuo vikuu vya umma kwa vile vya binafsi na wala sio udom tu.
Huwezi hudhuria mhadhara ukiwa dirishani hata mhadhiri humuoni kisa watu nyomi ukategemea effectiveness.
 
Tatizo watu wanachangia bila kujua wanacho changia. Nani kasema udom inatoa product hafifu? Mtoa mada ameongelea ukimya wa wahadhiri wa udom dhidi ya changamoto zinazo ikabili jamii; kama katiba mpya, mfumuko wa bei,kupaa kwa bei ya umeme,ufisadi n.k mtu anakurupuka na product za udom! Are we real great thinkers? Can a great thinker argue contrary to the issue at hand?
 
wewe kichaa wewe acha kubeza vyuo vya watu! Enhe nyie mliosoma kwenye vyuo unavyojua ni vvya maana mmetufanyia nn ktk taifa hili zaidi ya ufisadi?huu uzandiki,upuuzi,uchafu,makapi na aina zoote za usaha peleka kwa demu wako siyo hapa!vijana acheni madharau ya kiji..nga

Wacha mapepe bwana mdogo..kubali umesoma chuo cha ajabuajabu sana.. hamna kitu mmepata nyie wa UDOM
 
Udom to be honest
academically wako safi, kinacho jadiliwa hapa ni hao wahadhiri wao mbona
wako dormant sana katika kutoa changamoto zinazo ikabili jamii? Mfano
katiba mpya, kupaa kwa bei ya umeme, mfumuko wa bei, matokeo ya kidato
cha pili,mfumo wa elimu nchini. Wengi wa maprof wa udom walikuwa UDSM
tena wakiwa na vyeo sasa whats wrong to them? Wanaogopa? Kanuni
haziruhusu? Wataambiwa wanaleta siasa? Matatizo haya ya kijamii
hayawahusu? Au Mlacha anawapiga mkwara?

wengi nnaowasikia wakitoa maoni hayo mnayodai huwa aidha wanaalikwa kwenye majukwaa/vituo vya habari au kuhojiwa kwa njia nyingine. sijawah kumsikia mtu wa udom akihojiwa au kualikwa akakataa. Tatizo ni wana habari wetu kukariri watu wa kuwahoji. Hata hvyo vyuo mnavyosifia utakuta ni wale wale kila siku, je wao ndio wasomi pekee?
 
Njali tengeneza busara katika hoja, mnaweza fikisha taifa pabaya kwa kutaka kuaminisha kile unachoamini or unachotaka kiwe bila facts, ningependa vijana mjadili mada kwa weledi. comment yako ina mapungufu mengi sana, UDOM ipo karibu na pwani ?
Niwape busara, jifunzeni kutumia social networks vizuri, umejiunga JF tarehe 9th january 2014 mpaka sasa una posts 145 wastani wa 9.. posts per day. account yangu ipo tokea 2011 nna post 38 in 3years, huwa nachangia vitu muhimu tu, hasa kuondoa upotoshaji ili wanaofatilia hizi social networks wasiadhiriwe kimawazo na mtazamo in various issues.

Hongera kwa kuwa mchangiaji wa points za msingi tu!! Uwe una edit post zangu kabla sija post huenda elimu yangu haba ndio maana post zangu huzielewi!! Pia soma post humu ndio utaona njali anatoa post zisizo na mlengo bali ni za kweli tupu. Sina ushabiki wa dini, kabila wala chama niko fair kabisa. Kama ni kusoma nimesoma udom pia, hivyo i'm sure with what i say.
 
Wacha mapepe bwana mdogo..kubali umesoma chuo cha ajabuajabu sana.. hamna kitu mmepata nyie wa UDOM

Kama ww ni kijana basi nina haja ya kuhuzunika kama ni mzee nitakushangaa tu.
Watu kama nyie mnahitaji kuelimishwa sana. Kama una elimu ya digrii hongera lakini pole kwa kuwa hujaelimika bali umesoma tu. Werevu watanielewa
 
Tatizo watu wanachangia bila kujua wanacho changia. Nani kasema udom inatoa product hafifu? Mtoa mada ameongelea ukimya wa wahadhiri wa udom dhidi ya changamoto zinazo ikabili jamii; kama katiba mpya, mfumuko wa bei,kupaa kwa bei ya umeme,ufisadi n.k mtu anakurupuka na product za udom! Are we real great thinkers? Can a great thinker argue contrary to the issue at hand?

Tuache kujadili ni chuo gani bora Tanzania. Kimsingi ubora wa chuo unaanzia kwa wahadhiri hadi wanafunzi pamoja na miundo mbinu.
La kuangalia na kulijadili kwa kina ni mfumo mzima elimu yetu kuanzia chekechea hadi vyuo. Je kama huko chini hakuna maandalizi imara unadhani chuo kitasaidia?
 
Hongera kwa kuwa mchangiaji wa points za msingi tu!! Uwe una edit post zangu kabla sija post huenda elimu yangu haba ndio maana post zangu huzielewi!! Pia soma post humu ndio utaona njali anatoa post zisizo na mlengo bali ni za kweli tupu. Sina ushabiki wa dini, kabila wala chama niko fair kabisa. Kama ni kusoma nimesoma udom pia, hivyo i'm sure with what i say.

Safi njali, Sasa umekuja vizuri, kuna comment yako flani ndani ya hii topic umeeleza academics na participation in public affairs iko safi sana, haya ndo matumizi mazuri ya networking.

In a brief view regards to your Topic, Academic staff wa UDOM 70% walikuwa Junior chuo kilipoanza .. yaani not PHd holders, recently wamesomesha sana, Kuna Masters degree and PHD candidates wengi wamemaliza masomo, wale waliokuwa PHd holders wengi wana managerial role ndani ya UDOM, sasa kwa situation hii umekuwa huoni public lecture ,pia miundombinu ya Dodoma na Media zetu nadhani unajua ziko Dar es salaam zaidi. Yapo machache waliyofanya hayakupata publicity yakutosha, siku zinavyoenda tunataka kuwaona hawa academician wapya kutoka UDOM waki involve in public lecture and host debates.. hii ni changamoto kwao, pia media zifunguke, ziweze ita guest kutoka various institutions na coverage iende mikoa mbalimbali (mobile studio). Kwa haya machache, Mimi na wewe njali tuwape mda tuone involvement in public responsibilities from UDOM. let us be positive about this
 
Safi njali, Sasa umekuja vizuri, kuna comment yako flani ndani ya hii topic umeeleza academics na participation in public affairs iko safi sana, haya ndo matumizi mazuri ya networking.

In a brief view regards to your Topic, Academic staff wa UDOM 70% walikuwa Junior chuo kilipoanza .. yaani not PHd holders, recently wamesomesha sana, Kuna Masters degree and PHD candidates wengi wamemaliza masomo, wale waliokuwa PHd holders wengi wana managerial role ndani ya UDOM, sasa kwa situation hii umekuwa huoni public lecture ,pia miundombinu ya Dodoma na Media zetu nadhani unajua ziko Dar es salaam zaidi. Yapo machache waliyofanya hayakupata publicity yakutosha, siku zinavyoenda tunataka kuwaona hawa academician wapya kutoka UDOM waki envolve in public lecture and host debates.. hii ni changamoto kwao, pia media zifunguke, ziweze ita guest kutoka various institutions na coverage iende mikoa mbalimbali (mobile studio). Kwa haya machache, Mimi na wewe njali tuwape mda tuone involvement in public responsibilities from UDOM. let us be positive about this

Kaka unachosema kinaendana na thread, mimi sikuleta ushindani wa product za vyuo bali wahadhiri kujisahau, let them be a waken, pia sisi watanzania tunapenda sana sifa,kusifia tu hata penye mapungufu. Mimi kusoma udom sio sababu ya kusema kiko perfect kwa kila kitu kinachofanya.
 
Back
Top Bottom