Safi njali, Sasa umekuja vizuri, kuna comment yako flani ndani ya hii topic umeeleza academics na participation in public affairs iko safi sana, haya ndo matumizi mazuri ya networking.
In a brief view regards to your Topic, Academic staff wa UDOM 70% walikuwa Junior chuo kilipoanza .. yaani not PHd holders, recently wamesomesha sana, Kuna Masters degree and PHD candidates wengi wamemaliza masomo, wale waliokuwa PHd holders wengi wana managerial role ndani ya UDOM, sasa kwa situation hii umekuwa huoni public lecture ,pia miundombinu ya Dodoma na Media zetu nadhani unajua ziko Dar es salaam zaidi. Yapo machache waliyofanya hayakupata publicity yakutosha, siku zinavyoenda tunataka kuwaona hawa academician wapya kutoka UDOM waki envolve in public lecture and host debates.. hii ni changamoto kwao, pia media zifunguke, ziweze ita guest kutoka various institutions na coverage iende mikoa mbalimbali (mobile studio). Kwa haya machache, Mimi na wewe njali tuwape mda tuone involvement in public responsibilities from UDOM. let us be positive about this