!
!
udom ni chuo kikuu kumbe?!
nilijua ni sekondari maana wanaomaliza pale,duh!
kuna barua ya hro wangu amemaliza hapo natamani kuattach barua yake aliyoniandikia muda mrefu lakini naogopaogopa. Siku nikichukia nitaituma humu.
Udom ni bomu kabis@

Acha ubinafsi na chuki zisizo na msingi wala maslahi! Ww hujasoma hapo umesoma the best uni kwako huna cha. Kupoteza kwa nini udisi wengine! Wale mliobaatisha ndo zenu
Acha ubinafsi na chuki zisizo na msingi wala maslahi! Ww hujasoma hapo umesoma the best uni kwako huna cha. Kupoteza kwa nini udisi wengine! Wale mliobaatisha ndo zenu
Watu kama wewe ndo wale wanaishinda vijiweni..Sasa ulitaka kusema nini hapa?Kwamba UDOM si Chuo kikuu?then Chuo kikuu ni nini?
Haya sasa matokeo ya Form 2 yametoka..jmumeshaona ile 13 yako uliyopata kwenye pepa la Hesabu?
Acha Ungese mkuu..kuna watu wanaendesha maisha yao na familia zao kwa vyeti vya hicho chuo unachokidharau wewe kilaza.
!
NDO MAANA HUWEZI KUWA MWAJIRI MAANA AKILI YAKO NI FINYU SANA KUFIKIRI MAMBO KWA UPANA WAKE!
!
!
najua,ila nikiwa mwajili mhitimu wa udom nitamlinganisha form six au fresh mwenye cheti......hakuna kitu yani wahitimu wao,yupo mmoja napiga nae hapa. Huwa najiuliza alikuwa anafanya vipi assignment huyu?au research? halafu kafaulu,duh. Only in Tanzania
!
NDO MAANA HUWEZI KUWA MWAJIRI MAANA AKILI YAKO NI FINYU SANA KUFIKIRI MAMBO KWA UPANA WAKE!
!
!
inawezekana kabisa pia,ila kwa wahitimu dizaini ya hawa ninaowafahamu kwa kweli kazi ipo. Hadi huyu asiyejua kuandika hata barua tu au vimemo vya ofisi kahitimu? kahitimu vipi!nitaileta barua humu na memo mjionee,ni kituko
Kijana nadhani unashindwa kuelewa mambo kwa upana wake,huwezi kutumia sample ya watu wawili watatu kufanya generalization km hiyo ya kwako. Kuna watu mimi nawafahamu walimaza UDOM na wako smart na kuna watu nawafahamu walimaliza UDSM<SUA n.k lkn hamna kitu.U-smart wa mhitimu largely inategemeana na yeye mwenyewe,umahiri wa ma-lecturer una mchango mdogo.Kuna kijana wa UDOM namfahamu sasa hivi yuko Harvard anafanya PhD tena ni joint program kati ya Harvard na Hong Kong University.Hivi ni vyuo bora kabisa duniani na vinavyoongoza katika mabara yao kwa weledi,sasa swali la kujiuliza,huyo kijana amefikaje huko km kweli wahitimu wa huko ni vilaza? Kijana unapochangia kwenye jukwaa kama hili lnye watu makini jaribu kutumia kichwa zaidi na sio moyo wala ma------!
!
udom ni chuo kikuu kumbe?!
nilijua ni sekondari maana wanaomaliza pale,duh!
kuna barua ya hro wangu amemaliza hapo natamani kuattach barua yake aliyoniandikia muda mrefu lakini naogopaogopa. Siku nikichukia nitaituma humu.
Udom ni bomu kabis@
!
!
samahani lakini,ila wawakilishi wenu huku mtaani ni majanga. Nilikuwa na demu wangu huko,na yeye duh kumkichwa ni sifuri ila nae kahitimu eti. Dah......hivi wanafundishaje pale!au mitihani hakuna imefutwa?mh