!
!
najua,ila nikiwa mwajili mhitimu wa udom nitamlinganisha form six au fresh mwenye cheti......hakuna kitu yani wahitimu wao,yupo mmoja napiga nae hapa. Huwa najiuliza alikuwa anafanya vipi assignment huyu?au research? halafu kafaulu,duh. Only in Tanzania
Ndugu UDOM bado wachanga aisee, usiwalinganishe na UDSM,SUA, MUHAS au MZUMBE, wao bado mambo hayaja settle vizuri, utawafurahia baada ya miaka kadhaa ijayo.
Kijana nadhani unashindwa kuelewa mambo kwa upana wake,huwezi kutumia sample ya watu wawili watatu kufanya generalization km hiyo ya kwako. Kuna watu mimi nawafahamu walimaza UDOM na wako smart na kuna watu nawafahamu walimaliza UDSM<SUA n.k lkn hamna kitu.U-smart wa mhitimu largely inategemeana na yeye mwenyewe,umahiri wa ma-lecturer una mchango mdogo.Kuna kijana wa UDOM namfahamu sasa hivi yuko Harvard anafanya PhD tena ni joint program kati ya Harvard na Hong Kong University.Hivi ni vyuo bora kabisa duniani na vinavyoongoza katika mabara yao kwa weledi,sasa swali la kujiuliza,huyo kijana amefikaje huko km kweli wahitimu wa huko ni vilaza? Kijana unapochangia kwenye jukwaa kama hili lnye watu makini jaribu kutumia kichwa zaidi na sio moyo wala ma------
Take it or leave it but that's the fact
!UDOM is a joke...
Lakini wahitimu mnaowabeza humu wamepita mikononi mwa wahadhiri ambao wengi wao wamesoma katika hivyo vyuo mnavyoita bora kuliko vingine, tatizo litakuwa wapi???!!!!
udom chuo kizuri, nadhani hao jamaa wamejielekeza zaidi kwenye kukiimarisha chuo kwanza maana chuo ni kichanga na wote ni waajiriwa wapya. Katika current university rank ya vyuo bora UDSM ni chuo cha nne africa nzima.ngio maana lazima uone tofauti na vyuo vingine katika mambo mengi tu.
lakini umetoa wazo zuri, umefika wakati na wao tuwasikie wakitoa maoni yao kitaalam kuhusu mambo mbalimbali ya kuleta maendeleo nchini.
Am sorry mkuu unaijua udom kweli?Udom to be honest academically wako safi, kinacho jadiliwa hapa ni hao wahadhiri wao mbona wako dormant sana katika kutoa changamoto zinazo ikabili jamii? Mfano katiba mpya, kupaa kwa bei ya umeme, mfumuko wa bei, matokeo ya kidato cha pili,mfumo wa elimu nchini. Wengi wa maprof wa udom walikuwa UDSM tena wakiwa na vyeo sasa whats wrong to them? Wanaogopa? Kanuni haziruhusu? Wataambiwa wanaleta siasa? Matatizo haya ya kijamii hayawahusu? Au Mlacha anawapiga mkwara?
!
!
samahani lakini,ila wawakilishi wenu huku mtaani ni majanga. Nilikuwa na demu wangu huko,na yeye duh kumkichwa ni sifuri ila nae kahitimu eti. Dah......hivi wanafundishaje pale!au mitihani hakuna imefutwa?mh
Kijana nadhani unashindwa kuelewa mambo kwa upana wake,huwezi kutumia sample ya watu wawili watatu kufanya generalization km hiyo ya kwako. Kuna watu mimi nawafahamu walimaza UDOM na wako smart na kuna watu nawafahamu walimaliza UDSM<SUA n.k lkn hamna kitu.U-smart wa mhitimu largely inategemeana na yeye mwenyewe,umahiri wa ma-lecturer una mchango mdogo.Kuna kijana wa UDOM namfahamu sasa hivi yuko Harvard anafanya PhD tena ni joint program kati ya Harvard na Hong Kong University.Hivi ni vyuo bora kabisa duniani na vinavyoongoza katika mabara yao kwa weledi,sasa swali la kujiuliza,huyo kijana amefikaje huko km kweli wahitimu wa huko ni vilaza? Kijana unapochangia kwenye jukwaa kama hili lnye watu makini jaribu kutumia kichwa zaidi na sio moyo wala ma------
Take it or leave it but that's the fact
MLETA maada unawazo zuri lakini wazo lako limekosa ushahidi/research ya kisomi. Chuo kikuu cha Dodoma ni kweli kimekusanya watu wenye elimu ya kiwango cha juu sana na wenye upeo wa hali ya juu katika kutizama mambo kwa upana wake na urefu. Wapo ma Professer, madoctor, maphd holders,n.k na hawa wote wanashiriki kwa nafasi zao katika kuzungumzia mambo mbalimbali inayohusu taifa letu kwa ujumla. Wanatoa maoni yao sehemu mbalimbali ikiwemo Makongamano, warsha,seminars, vyombo vya habari vingi tu vyakutosha Tanzania. Sasa wewe kama huwasikii ni bora ungejisemea nafsi yako kuliko kufanya inference without any scientific research for your argument. Unaporukia kwenye conclusion bila research ni dalili pia za kuonyesha wewe ni msomi/uelewana wako ni wa aina gani. Dhana ya Dodoma University kuwa chuo cha kata ni dhana ambayo wengi mnaimba kila siku bila kujua what are you saying. Kwakuwa hata nikikuhoji ni nini kinaifanya Udom kuwa chuo cha kata na ili chuo kiwe cha kata kina sifa gani wengi hamna majibu zaidi ya kurukaruka kama mmekanyaga siafu. DHANA ya kuwa Udom ni chuo cha kata imejengwa na watu wenye akili zao hasa kwa malengo ya kupotosha wasiochukua muda wao kufikiria yasemwayo hasa vijana wanaohitimu A level na collegus mbalimbali na wanaoitaji kujiunga na elimu ya juu. Lengo ni kutengeneza soko la vyuo vyao ambavyo kimsingi kusoma katika vyuo hivyo hata ukiwa 100% ya mkopo still maisha yako kama mwanafunzi yatakuwa tofauti na mwanafunzi wa udom. Hii ni kwasababu hasa ya miundombinu mizuri iliyopo chuo kikuu cha Dodoma. Pia intake ya chuo kile kwa taarifa tu kikikamilika uzuri per year kinaweza kupokea wanafunzi elfu kumi natano 15000 na chuo kizima kuwa na jumla ya wanafunzi elfu arubaini (40000) wote wakiwa wanapata kila mmoja malazi palepale. Takwimu hii ni hatari sana kwa ustawi wa vyuo vingine hasa vya private kwani kuna uwezekana wanao apply wasiombe kabisa vyuo hivyo. Mimi hii kwangu ni hoja dhaifu kwani Tcu kwa sasa andio taasisi inayowajibika kupangia vyuo wanafunzi na sio matakwa pekee ya wanafunzi. Kifupi chuo kile kama hujuma hazitoendelea kufanyika ili kisifanikiwe malengo yake few years ahead kitakuwa si kuwa ni bora tu Tanzania bali na Afrika kwa ujumla. Kuna hujuma nyingi sana nazijua kinafanyiwa UDOM lakini leo nadhani itatosha. Nawakumbusha tu kwamba Udom before 2015 Hospitali bora zaidi ya muhimbili itakuwa imefunguliwa ndani ya chuo hicho. Magonjwa yanayotibiwa India km Moyo yatatolewa huduma zako chuo kikuu cha dodoma. Nalo hili lina maelezo yake yanayopelekea kupakwa matope yasiostahili.
!
!
udom ni chuo kikuu kumbe?!
nilijua ni sekondari maana wanaomaliza pale,duh!
kuna barua ya hro wangu amemaliza hapo natamani kuattach barua yake aliyoniandikia muda mrefu lakini naogopaogopa. Siku nikichukia nitaituma humu.
Udom ni bomu kabis@
!
!
udom ni chuo kikuu kumbe?!
nilijua ni sekondari maana wanaomaliza pale,duh!
kuna barua ya hro wangu amemaliza hapo natamani kuattach barua yake aliyoniandikia muda mrefu lakini naogopaogopa. Siku nikichukia nitaituma humu.
Udom ni bomu kabis@
Hivi wana janvi kwanini chuo kikuu cha Dodoma huwa wahadhiri wake hawatoi maoni kuhusu mambo mbali mbali yanayotokea kwenye jamii?. Kuna maprofesa wengi, madokta wengi na hata wenye masters wengi pia. Je matatizo haya hawa yaoni? Au wanamuogopa Mlacha atawatimua kazi? Au ndio chuo cha kata? Kumbukeni Nyerere alisha sema "chuo kikuu kinacho zalisha watu wasio hoji hakifai kuitwa chuo kikuu bora kikafungwa"!!
Inasikitisha vijana wadogo mnajadili vitu vikubwa msivyovijua, kazi za university..Academics-Teaching, Research and Consultance, hamfikilii kuhusu academic institutional credibility hufikiwa kwa vigezo gani, staffing credentials, years and quality of academic, research conducted and consultancy. Msiwe wepesi kuhukumu UDOM kwa muda huu, mnafanya reference ya UDSM wakati hiyo credibility imepatikana in years of operation.
Unajifhalilisha we kanjanja maana huyo kaka yako kasoma form 1-6 hajui kuandika barua?? Ina maana alitegemea barua akajifunzie kuandika chuoni?? Hilo Ni janga