UDOM.....updates info..!

SAWEBOY

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
241
Reaction score
174
Mkuu wana JF,

Toka tarehe 10 Sept. hadi 10 Oct. ni mwezi sasa umepita toka deadline ya job pale udom ipite. Kimyaa hiki cha bila watu kuitwa katika interview kinaibua maswali mengi hasa ya uchakachuzi wa majina ili yale ya watoto wa vigogo kama yale ya UVCCM kupendelewa hata kama hawa sifa stahiki.

OMBI: Ombi langu ni kuwa kama kuna mtu ana data ambazo zipo so recent kuhusu majina ya watu ambao wapo shortlisted atuambie hapa, na pia awe muwazi kuwa ni lini interview inategemea kuwepo hasa kwa wale ambao wamekuwa shortlisted kwa interview.

Najua sio mimi peke yangu niliyeomba bali tupo wengi tunaosubiri feedback.

Prof. Mlacha kama unapitia humu JF basi tunaomba utupatie recent info kuhusu kazi tulizo omba tafadhali.

ASANTENI
 
ucjal saweboy utapata tu kazi muombe mungu!walioomba ni weng so uchambuz inabidi uwe wa makini kidogo coz uchakachuaj.
 
kwa tetesi za karibu ni kwamba wapo katka hatua za mwisho by nxt week mambo yanaweza kuwa hadharani
 
Wakati wowote kuanzia sasa wataitwa ndiyo taarifa nilizonanzo tuwe wavumilivu na maombi kwa sana,,,,
 





inonekana mkuu haufatilii sana mambo.

written interview ya watu waliomba nafasi za utawala imeshafanyika tokea tarehe 17/11/2012. na shortlist iliwekwa kwenye website ya chuo. Pia interview ya waliomba nafasi za ASSISTANT LECTURE / TUTORIAL imefanyika tarehe 26/11/2012 na majina mpaka leo hii yapo kwenye website ya chuo.

ombi langu kwako unatakiwa ufaatilie haya mambo wewe mwenyewe na usisubiri mpaka rafiki yako akupigie simu ndipo ushtuke.
 
Mkuu UKWELIWANGU

Mimi nafuatilia kwa karibu sana sio kama wewe unavyofikiria. yale majina ya kuitwa kwemye interview tarehe 26/11/2012 ni watu wa college ya Health/Afya.....sasa je unataka kutuaminisha kuwa na college zingine majina yao yapo pale? kwa tangazo lipi?....acha urongo mkuu....coz hata kwenye website yao wana-specify very clear...College of Health science!

Kama hutojali basi waombe radhi wana JF kwa kuwapotosha na maelezo yako mkuu.
SAWEBOY

 
Last edited by a moderator:
mkubwa nadhani wako busy na wale jamaa ambao walifanya written exams 17/11/2012. xo ni kama wana weigh out kuwaita kwa ajili ya oral o wawachukue moja kwa moja bila oral ....kingine still kuna wengine walifanya oral interview tokea 31/1012012 bado hawajaitwa bado ...wewe endelea kuwa tu mpole usubirie
 

Mkuu mimi nimepigiwa simu leo yakuitwa kwenye usaili college ya education siku ya Alhamis tar 6 December, nimepigiwa leo saa 6 mchana kwa namba ya voda simu ya mkononi. Habari ndo hiyo. Mimi niliomba TA special needs education
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…