SAWEBOY
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 241
- 174
Mkuu wana JF,
Toka tarehe 10 Sept. hadi 10 Oct. ni mwezi sasa umepita toka deadline ya job pale udom ipite. Kimyaa hiki cha bila watu kuitwa katika interview kinaibua maswali mengi hasa ya uchakachuzi wa majina ili yale ya watoto wa vigogo kama yale ya UVCCM kupendelewa hata kama hawa sifa stahiki.
OMBI: Ombi langu ni kuwa kama kuna mtu ana data ambazo zipo so recent kuhusu majina ya watu ambao wapo shortlisted atuambie hapa, na pia awe muwazi kuwa ni lini interview inategemea kuwepo hasa kwa wale ambao wamekuwa shortlisted kwa interview.
Najua sio mimi peke yangu niliyeomba bali tupo wengi tunaosubiri feedback.
Prof. Mlacha kama unapitia humu JF basi tunaomba utupatie recent info kuhusu kazi tulizo omba tafadhali.
ASANTENI