A
Anonymous
Guest
Unalipia hostel lakini hupewi chumba mpaka ukamilishe usajili wakati huo huo. Hakuna control number za NHIF huwezi kukamilisha usajili na huna pa kukaa.
2. Hawatoi makazi ta muda huna pakukaa na unatakiwa darasani ni kitu hakiingii akikilini
3. Malipo yana hesabu kuanzia siku ya kufungua chuo kwanini usipewe room mpaka eti ukamilishe usajili na umelipia
4. Wanafunzi wanatoka kwenye hali tofaut tofaut za kimaisha wengine wanasubiri michango ya familia wengine wana subiri boom ndo walipe ada kwani wasipewe room kama kitu wanachoweza kulipia kwa wakat huo